Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

Hakuna utajiri bila ya Siri
Hakuna Mungu bila ya Siri
Siri ndio Mungu, na Mungu ndio Siri.

Nguvu ni siri
Uwezo ni siri
Mamlaka ni siri
Utajiri ni siri
Ubunifu ni Siri
Uumbaji ni Siri

Nadhani unapaswa ufikiri vyema Mkuu
Samson alipotoa siri kwa Delilah aliharibu mnooo! Utajiri ni siri na siri ndiyo utajiri.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa kuwa utajiri ni siri. Ndio maana wengine wakifa wanaondoka na utajiri wao. Ina maana wanaondoka na Siri ya utajiri.
 
Kama wana nia mbaya na wewe na kama hauna ulinzi wa Mungu ni kazi bure. Watakuroga ufie kwenye ndinga au jumba lako.
 
HUYU BILL LUGANO NI BILLIONAIRE LAKINI HAJAFICHA KITU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…