Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

Yakobo aliupataje utajiri mkubwa zaidi kumzidi Mjomba wake Laban?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwann Mungu aliamua Kumuotesha Ndoto Farao halafu Tafsiri akaamua kuiweka kwa Yusuph na asingempa Farao mwenyewe?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Soma habari ya Samsoni, kilichomkuta aliambiwa asije akatoa SIRI ya NGUVU ZAKE, akajichanganya akamuambia mke wake..Hizo nguvu alipewa na Shetani au Bwana wa Majeshi?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwann Mungu alikuwa anaongea na Musa, peke yake na kumpa maagizo akiwa peke yake? Na kwann wana wa Israel walipotaka Kuongea na Mungu kama ilivyokuwa kwa Musa, ilishindikana?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
SIRI NI YA UFUNGUO WA MAFANIKIO,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii hata mimi imewahi nikuta, nimewahi kuwa nafanya kazi na kampuni fulani, ila kipato changu na aina ya maisha yangu hayaendani kabisa.....sasa kuna mfanyakazi mwenzetu mtu mzima kiasi alinifata na kuniomba sana nimsaidie kumkwamua maana alipo Ana majukumu makubwa isitoshe kipato chake ni kidogo sana.....nikamuonea huruma kwa kumuonesha kamfereji kadogo sana kakupata mshiko.....Aisee sikuamini macho yangu yeye ndio alienda kuwa mwiba katika kazi yangu kama nisingekuwa na misuli mikubwa hata kazi ningeipoteza....sasa hivi kale kamfereji kamezibwa yeye naendelea kuteseka mimi naendelea ku make money....sasa hivi zaidi ya majuto hakuna kingine kinacho mtesa, hawezi hata kuniangalia usoni. SIRI SIRI SIRI.....BINADAMU SIO KABISA
 
Binadamu pumbavu sana
 
Hivi 10M ni pesa ndefu??

Unauliza ndefu Kwa Osama Mkuu?
Ikiwa 80% ya Vijana wenye umri Kati ya miaka 20-40 hawajawahi kushika hizo milioni 10 Kwa pamoja, utasema milioni 10 sio nyingi?
Au hat wakusanye vipi hawawezi kufikisha hizo milioni 10 hauoni hizo milioni 10 ni nyingi?
 
Mshahara huo wa mtu kwa mwezi

Inshort sio hela ya kujivunia kabisa mkuu

Mshahara Kwa mwezi? πŸ˜€πŸ˜€
Unaweza ukashangaa ukiulizwa ukoo wenu wote sio ajabu hawajawahi kuzishika hizo milioni 10 Kwa pamoja.
Bado useme milioni 10 sio hela ya kujivunia,

Milioni 10 inanunua Gari zuri la kuagiza, Kwa hapa bongo unapata Gari Kwa MTU Kali Kwa Pesa hiyo.
Milioni 10 unajenga nyumba ya vyumba vitatu mpaka unapaua Huko mkoani.

Milioni 10 unaweza nunua shamba na ukalima ukapata faida.

Milioni 10 unaweza ukaanzisha biashara ya nguo, ya nafaka , au ya vipodozi, Kwa kiwango cha kati na ukafanikiwa.
Biashara nyingi za watanzania wenye Fremu hazitoboi milioni 10.

Milioni 10 unaenda marekani na kurudi,
Milioni 10 unaenda Dubai unaka wiki na kurudi

Milioni 10 unaenda kutolea Mahari na unabaki na chench kibao.
Milioni 10 unafanya harusi kubwa Kwa mikoani.

Milioni 10 Kwa kijana anayeanza Maisha, ananunua vitu vya ndani standard kuanzia Godoro, kitanda, Masofa, Luninga, sabufa, Friji, Majiko ya kupikia, mapazia, Simu, na analipia Kodi ya chumba na sebule ya gharama ya laki mbili Kwa mwezi Kwa Mwaka mzima na anabakiwa na chenchi ya kufanyia biashara ya milioni Kama tatu.

Zingatia Vijana na watanzania wengi vitu vyao vya ndani thamani ya vitu vyao Havifiki milioni Nne. Tena vingi ni used. Tena Kwa Vijana vitu vingi Havifiki milioni mbili.
Wewe unasema Milioni 10 sio Pesa ya kujivunia?

Labda hauijui nchi yako vizuri, au haujatembea. Ila kama nchi Hii imetembea tembea, hiyo milioni 10 ni pesa nyingi mno. Tena Mno.
Elewa nchi yetu ni Maskini Sana.

Hiyo ndio Milioni 10 Mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…