Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

😁😁😁😁😁😁 Ngoja nikenue
 
Ila kweli ni kimzigo si cha kubeza, kwaio tuseme kijana akiimiliki hio pesa ni kama katoboa life hivi
Unauliza ndefu Kwa Osama Mkuu?
Ikiwa 80% ya Vijana wenye umri Kati ya miaka 20-40 hawajawahi kushika hizo milioni 10 Kwa pamoja, utasema milioni 10 sio nyingi?
Au hat wakusanye vipi hawawezi kufikisha hizo milioni 10 hauoni hizo milioni 10 ni nyingi?
 
Mpaka nimeandika ujue ninaushahidi.

Ila sio kila ushahidi unapaswa udhihirishwe, cha msingi shika nilichokuambia, wapo watu(wachache) wajuao kesho ya watu wengine.Unaweza kushika au kuliacha.
Nimemiliki mamilioni na rasilimali nyingi tangu nikiwa na umri wa miaka 23 naelewa unachomaanisha Hela haitaki lelemama
 
Ila kweli ni kimzigo si cha kubeza, kwaio tuseme kijana akiimiliki hio pesa ni kama katoboa life hivi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hajatoboa Mkuu.
Ila kibongobongo wengi watakufa pasipokujua milioni 10 inafananaje.
 
Hata mataifa yote na watu wote wakakusanyika juu ya jambo ambalo Allah hajakuandikia haliwezi kua
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…