Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajiri ni hazina ya Maulana --- kitu kinachodumu na kusavaiv beyond the grave ndio utajiri wenyewe. Mengine yooooooooooooote ni GHERESHA. Soma hiyooooo!
Haaa,we jamaa ujawai kutoa boko kwenye mada zako.
Ngoja niendelee kusoma comment za wapwa.
Andiko bora la kuanzia siku hili
Kuna kitu kinaitwa secret knowledge yaani maarifa ya Siri kwa mfano bakhresa Ana kiwanda hio technology kainunua let's say marekani...Siri Ni fedha ukiwa na pesa unanunua hio Siri
Hili nakubalina nalo asilimia kadhaa.Mpaka nimeandika ujue ninaushahidi.
Ila sio kila ushahidi unapaswa udhihirishwe, cha msingi shika nilichokuambia, wapo watu(wachache) wajuao kesho ya watu wengine.Unaweza kushika au kuliacha.
Hili nakubalina nalo asilimia kadhaa.
Kule kijijin kwetu kuna watu wanaitwa (wasololi)jina la kilugha Hilo hawa watu inasemekana wanakuwa wanafaham kuwa kesho fulan anasepa na inatokea kweli.
Kuna mmama mmoja namfaham naye anadaiwa Ni wa hivyo lakin hajawah ongea popote sema jamii had mabab wanamwongea namna hiyo .
Wanadai akijua fulan anasepa kabla ya siku mbil au tatu mbele huwa hatoki ndan na hata watoto wake wanaongea ,asipotoka ndan jua Kuna mtu anasepa hapo kijijin na kwel inatokea ,maana wanadai hapaswi kumwangalia uson au kukutana na mtarajiwa .
Kwa kias fulan naanza kuamin kuwa dunia Ni Zaid ya tuijuavyo yaan tumefumbwa kwa mengi sana
| Mika 3:7 |
| Na hao waonaji watatahayarika, na wenye kubashiri watafadhaika; naam, hao wote watajifunika midomo yao; kwa maana; hapana jawabu la Mungu. |
Daaahh noma Sanaa hili darasa....ila hiyo paragraph ya nne unless uwe umemaanisha Mungu, lakini Kama umemaanisha Kuna binadamu wanajua mpaka kesho yetu Basi naomba ufafanue vizuri tena kwa umakini mkubwa mnoo
| Mika 3:7 |
| Na hao waonaji watatahayarika, na wenye kubashiri watafadhaika; naam, hao wote watajifunika midomo yao; kwa maana; hapana jawabu la Mungu. |
Nakubaliana na wewe! Utajiri una principle zake..na wengi wanashindwa hapo.tukija upande wa pili umasikini ni oya oya bora liende ni mwendo wa kubahatisha maisha.
Na kwa kulijua hilo hakuna tajiri anayependa masikini ajue hii siri..masikini hawaaminiki..ni wanafiki sna..na hata wale wachache waliojua siri ya mchezo walishindwa kusonga mbele coz nature iliwaumbua.
Maskini hawezi kunishauri bwn Mdogo.Ndio haya maswali ya masikini yanavyokuwaga,
Wewe hata nikiwa tajiri unafikiri itakusaidia?
Nashukuru mfano bora umejitokeza, na wewe utakuwa Case Study humu Jamvini
Wewe ni tajiri?Maswali ya kimaskin haya
Maskini hawezi kunishauri bwn Mdogo.
Motivational Speaker ni shiiiiiiiida.
Ila maskini anaweza kujiita maskini sio?Tajiri hawezi kujiita tajiri,
Utajiri hauna mdomo, una vitendo, nimeshaandika hapo.
Ila maskini anaweza kujiita maskini sio?
TrueDaaahh noma Sanaa hili darasa....ila hiyo paragraph ya nne unless uwe umemaanisha Mungu, lakini Kama umemaanisha Kuna binadamu wanajua mpaka kesho yetu Basi naomba ufafanue vizuri tena kwa umakini mkubwa mnoo