DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu msemo uwa unaniacha hoiTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu msemo uwa unaniacha hoiTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu msemo uwa unaniacha hoi
Amesema tajiri hawezi kukwambia kama yeye ni tajiri, akikwambia basi hua yeye ni maskiniWewe ni tajiri?
Tuanzie kwanza hapo.
Mpaka nimeandika ujue ninaushahidi.
Ila sio kila ushahidi unapaswa udhihirishwe, cha msingi shika nilichokuambia, wapo watu(wachache) wajuao kesho ya watu wengine.Unaweza kushika au kuliacha.
Mkuu wewe kama 'mwandishi' ilitakiwa umfafanulie 'msomaji' wako. Ukijiita mwandishi na unaacha wasomaji kwenye mafumbo ya wazi hawatazikubali kazi zako. Unless unashikilia 'usiri' ulioutaja kwenye andiko lako, usiri huu hauna maana
Hiyo ya mtu kuona kesho yako ipo kiukwel kabsa,sema kwa vile mimi nina sifa za kitajiri siwezi kusema huwa inakuaje inabaki kuwa SIRI!
Naanza kuyapata majibu taratibu.Ntachangia kwa mfano hai,
Kuna jamaa angu, Tunafanya biashara eneo moja.
alnifata kuniomba nimsaidie chimbo la bidhaa flani maana kwa bei anayonunua (sh.850) na Bei ya kuuzia sokoni (sh1000) hamlipi kabisa.
Nkamuonea huruma nkampa chimbo la kununua sh. Sh.220 ili akauze ile ile sh.1000
Baada ya wiki
Mteja anauliza Bei gan hii, unamwambia Elfu moja.
Anakujibu, Mbona flani pale anauza jero jero.
Mfanyabiashara mwenzang mwingine akaja ananiuliza,
Aisee Jamaa anapata wapi mzigo, Pale kwake anauza jero jero rejareja.
Dah!
Nkajua tayar picha ishaungua.
Baada ya hapo,
Ile FAIDA kubwa nliokua naipata kwenye ile bidhaa ikapotea ivyo kabisa na mauzo yakashuka.
NLIJUTA SANA!
Nowdays,
NIMEKUA BANDIDU KABISA,
Kuna baadhi ya machimbo ya hela Hadi mke wangu wa ndoa au Ndugu wa damu sitaki ajue kabisa.
NAUNGA MKONO HOJA, uko sahii Sana mtoa mada
Ntachangia kwa mfano hai,

Naanza kuyapata majibu taratibu.
Wafanyabiashara wengi ni wabinafsi
Hellow wakuu, Kutokana na ugumu wa ajira vijana wengi waliohitimu vyuo wamekuwa wakitaka kujiajiri. Mfano mtu anataka kufanya biashara ya bucha, anamfuata mwenye bucha kiroho safi kutaka kupata taarifa sahihi ili na yeye akafungue bucha mkoa mwingine au wilaya nyingine, akaanza kwa kuulizia...www.jamiiforums.com
Kupitia comment yako sina cha kuuliza tena.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
I gree with you [emoji817] [emoji109][emoji110][emoji106]
bandiko hili wakiliona nduguzo wote naamini ukoo wenu watakuwa mark fella wa bongo..good luck!!