Utajiri ni Siri, na Siri ndio Utajiri wenyewe

Na mimi nikamzabua ngoma draw, wao si wanasema uzee mwisho chalinze
Dah! Mwanzoni niliona umezingua kinoma, ila mwishoni umenichekesha sana.....all in all ni mambo ya kimitandao tu hivyo wazee wanapojichanganya huku na vijana wao itabidi wavumilie kwa yote coz sidhani kama ingekuwa ni live ungeweza kudindishiana nae kama ulivyofanya hapa
 

Nimejifunza kitu hapa bado nina safari ndefu ya kubadili tabia.
 
[emoji3][emoji3]

Ila nimeshamuomba radhi
 
Mpaka nimeandika ujue ninaushahidi.

Ila sio kila ushahidi unapaswa udhihirishwe, cha msingi shika nilichokuambia, wapo watu(wachache) wajuao kesho ya watu wengine.Unaweza kushika au kuliacha.
Ni kweli wapo bwana hawasemagi kabisa sababu hata wakisema jamii inawachukulia vingine,wapo watu mpaka Leo wana uwezo wa kuwasikia baadhi ya wanyama tunaowafuga wanachosema.
 
katka jambo lolote unalofanya ..usiwe mtu wa kuwambia watu mipango yako..mambo yako..siri huwa haisemwi..siri huwa inatekelezwa...
kuna mambo mengi sana nimeyashuhudia katika kaz zangu..dunia hii vitu visivyoonekana ni vingi kuliko hivi tunavyoviona kila siku..
 
katka jambo lolote unalofanya ..usiwe mtu wa kuwambia watu mipango yako..mambo yako..siri huwa haisemwi..siri huwa inatekelezwa...
kuna mambo mengi sana nimeyashuhudia katika kaz zangu..dunia hii vitu visivyoonekana ni vingi kuliko hivi tunavyoviona kila siku..
 
kuhusu watu wanaojua kesho yako nitoe ushuhuda mmoja
siku moja niko car wash naosha gar..akapita jamaa anatembea kwa miguu..alipofika usawa wangu akaniangaliaaa..kisha akaja..mimi nikajiulza huyu ni nan wa wapi! anataka nini?..jamaa akaja akanisalimia..akanitaka radhi..akaniomba twende kwenye bench tukae..nikamuuliza wewe ni nan..nikagoma kwenda..akaniambia wala usihofu..dogo mmoja alikiwa jiran anafuta gar akaniambia broo we kubali sie tupo..
nikaenda ..jamaa akajitambulisha kwa jina na kabila lake ni mmang'ati..jamaa akaanza kutiririka kuhusu mimi..akaniambia wewe ni flan,unakaa mahali flan..mkeo ni flan na anafanaya kaz sehem flan....jamaa alishusha nind had ya mchepuko wangu..akaendelea kunieleza mambo mengi na majaribu ninayokumbana nayo kazini,
zaid sana akaniambia natokea moshi kumuona ndugu yangu alikiwa na matatizo..naenda nyumbana kwangu manyara..nitarud jumatatu tukutane hapa..nikusaidie namna ya kuvuka majaribu unayopata kazin na mengine..nikamuaga nikampa elfu 20 akagoma akasema anayohela yake..
jtatu saa saba nikatoka job niakenda hapo car wash..saba na nusu jama akafika ..baada ya salam akanieleza vitu kibao v vya maisha yangu..kisha akanimbia nitakusaidia kwa hili la kazini na pia biashara zako..kwa kifupi alinisaidia mambo yakawa shwariii kabisa..hadi leo naona mabadiliko makubwa sana..so watu wa namna hii wapo..
ila jamaa alinishangaza sana..hana sim, na mda mwing anatembea kwa miguu.
 
Dah,hapa umegusa wengi mkuu,utasikia eti umeshajenga,wakati hata tofali moja hana...
 
Mkuu nimekuelewa sana ambao tushafanya makosa ya kutangaza mambo yetu tunafanyaje kujinasua humo? Nisaidie plz
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
 
Hii mada yako imenikumbusha km miaka 3 nyuma nilikuwa nnafukuzia kazi sehemu nzuri tu kama ningeipata nisingeishi haya maisha ya sasa hv hata hela ya kula shida nnakumbuka mchakato wa kazi ulifika karibu 90% bado kuitwa kusaini mkataba ndio nikatafuta ustadh anifanyie duwa nikaona kufanyiwa duwa peke yangu sio poa nikamualika mtoto wa aunt yangu aje kwenye duwa ,sasa wakati jamaa anaeka ubani yule ustadh akasema usijali kazi imebaki ndogo wiki haiishi utasaini mkataba yule mdogo wangu kusikia ille kauli alishtuka mpk kamwaga chini ubani hyo kazi ndio ikaishia hvyo labda ingekua siri ningefanilikiwa.
 
Mkuu nimekuelewa sana ambao tushafanya makosa ya kutangaza mambo yetu tunafanyaje kujinasua humo? Nisaidie plz
acha mara moja..anza na mambo ha kawaida kabisa..kwafano..mtu hajakuuliza..wewe unaanza..kesho naenda town kuna mishe yangu naenda kuisikilizia...unaemwambia anavuta umakini na anauliza issue gani budaa..weww sasa unatiririka...hahahha...mambo kama hayo hutakiwi kuyasema..we panga kichwan ratib na mipango yako..then anza kuexecute....yaan waone tu umevuta ndinga mpya..umenunua kiwanja na umejenga..umetangaza ndoa..umeenda nje kusoma Masters au PhD..nk nk...
 
hii chai ya moto bila vitafunwa halafu ina tangawizi nyingi sana
 
Usihahau pia kuwa zipo kazi na miradi ambayo hutaweza kuitekeleza kama hutakuwa muwazi.
Kwa kifupi ni kwamba kila kitu kwa kiasi, hata Usiri ni kwa kiasi pia, ila usiwaambie mipango yako watu wasiohusika na kazi na miradi yako. Na wale unaofanya nao kazi au miradi basi yakupasa uishi nao kwa akili, Waswahili tunasema, "wasiwasi ndiyo akili" usimuamini mtu kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…