stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
Kwa kweli mkuu MKUU CONSULT uwepo wako hapa jukwaani unaendelea kunipanua akili zaidi.......ulinipa mwanga mkubwa juu ya biashara ya vifaa vya ujenzi.....nakushukuru sana mpaka sasa naendelea vizuri....mungu akubariki sana