Utajiri / ujasiriamali unavyopatikana

Utajiri / ujasiriamali unavyopatikana

Kwa kweli mkuu MKUU CONSULT uwepo wako hapa jukwaani unaendelea kunipanua akili zaidi.......ulinipa mwanga mkubwa juu ya biashara ya vifaa vya ujenzi.....nakushukuru sana mpaka sasa naendelea vizuri....mungu akubariki sana
 
Jamani ndugu zangu mimi nina fremu duka kubwa lkn sijui niweke biashara gani msaada wenu plz
inahitaji maelezo ya kutosha, iko wapi, mahitaji ya hapo, uwezo wako, lengo na interest yako n.k
 
Kwa kweli mkuu MKUU CONSULT uwepo wako hapa jukwaani unaendelea kunipanua akili zaidi.......ulinipa mwanga mkubwa juu ya biashara ya vifaa vya ujenzi.....nakushukuru sana mpaka sasa naendelea vizuri....mungu akubariki sana

shukran sana UBARIKIWE
 
Back
Top Bottom