Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kwa hiyo ni nyani wa maionyesho 🙉🙈🙊Steve ni msanii na mtanzania mweny kujishughulisha na sanaa ya uigizaji huenda mama kaenda kuwapa motisha hebu acheni kuhoji ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ni nyani wa maionyesho 🙉🙈🙊Steve ni msanii na mtanzania mweny kujishughulisha na sanaa ya uigizaji huenda mama kaenda kuwapa motisha hebu acheni kuhoji ujinga.
😁😁😁Duh!!Kwa hiyo ni nyani wa maionyesho 🙉🙈🙊
Emancipate yourself from mental slavery, none but ourselves can free our mind.Hapo ni nani atutoe kwenye hii mifumo mibovu na hovyo ili tuanze safari ya uchumi imara na wenye tija.
Umenena vyema[emoji41][emoji39][emoji41][emoji41]
Kujua tunahitaji Nini Kama Taifa inatosha sisi kunza safari hata njia imefungwa .
Watz wapo mind controlled serikali inatumia spinning kuwafanya waendelee kulala usingizi wa pono Muda huu kila Mtu anajidili Simba na yanga , Ushoga na ulawiti hizi habari zimeandaliwa kimkakati ili kuziua bongo za wabongo.
So hatua tuliyopo ni mbaya Sana ili tusonge ni kuhakikisha tunafufua akilizo zilizokufa
Akiweka nishtueWeka post yako mòja tu yenye mawazo makubwa ya kulisaidia taifa
Eti unaandika nini vile?Wivu tu.
Jeshi limekosa watu wenye mapana ya fikra, wanawaza ujingaujinga, mawazo very tinyBadala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu,
Hakwenda popoteSteve ni msanii na mtanzania mweny kujishughulisha na sanaa ya uigizaji huenda mama kaenda kuwapa motisha hebu acheni kuhoji ujinga.
Hilo likifanikiwa gesi haiwezi kuuzwa 1500 tena kwa kilo. Itauzwa 3000 tutarudi kule kule kwenye mafuta. Yani kiuchumi watumiaji wakiongezeka bei inatakiwa ishuke zaidi walau 1000 kwa kilo ila haitakuwa hivyo. Wanasiasa wote watataka wamiliki vituo vya gesi na kupandisha mabei kadri wanavyojiskia.Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.
Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.
Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.
Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.
Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.
Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.
Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.
Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.
Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.
JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Na Magufuli kwa jinsi alivyokuwa sharp thinker ungeshangaa namna ambavyo angepambania vituo vya gesi viwe vingi kwa mda mfupi sana ku combat hio shida ya mafuta. Japo yasingefika elfu 3 akiwapo madarakani.Uzi ufungiwe, unahatsrisha usalama wa biashara za wazito wa CCM.
Bandiko lako lingefaa sana wakati wa Magufuli
Steve Nyerere, Mwijaku, Baba Levo hawana tija yoyote kwa watanzania tunaishangaaUpo sahihi Sana nchi inaenda anticlockwise Mama anampelekaje Steve nyerere kwa pesa zetu ? Doesn't make sense
Wewe huyo Steve Nyerere ameshawahi kukumotisha?Steve ni msanii na mtanzania mweny kujishughulisha na sanaa ya uigizaji huenda mama kaenda kuwapa motisha hebu acheni kuhoji ujinga.
Mali halali ya CCM Chama Cha Mazezetasteve nyerere, mwijaku, baba levo hawana tija yoyote kwa watanzania tunaishangaa s
Hii nchi kuna siku itakuwa nyekunduWazo ni jema sana,
Tatizo tu ni kwamba wenye kufanya maamuzi ndio wenye kufanya biashara ya kuagiza mafuta! So conflict of interest is obvious!
Safi kabisa mkuu wazi jema hili..lakini washauri wa Raisi ni akina KITENGE. Sina uhakika kama watafanyia kazi.Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.