Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

Una faida gani sasa wewe?
Nyie ndio wapika majungu ili mle tu
Hapana kazi yetu chawa ni kuhakikisha kwenye majukwaa yote na sehemu ambazo Mama hawezi kufika tunamsemea, na hata hapa JF chawa tupo kibao wengine wapo na majina ya kawaida. Mkileta vihoja vyenu huwa tunavipangua mpaka mnaishiwa nguvu na hoja zinakufa. La bandari lipo wapi??
 
Wazo Zurich sana, ila unataka rais mstaafu mwenye mafuta ya ziwa, anafungua vituo vya mafuta hadi vichochoroni akale wapi?

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI, wazo lako ni Zurich ila wamiliki wa vituo vya mafuta wanaweza kuchanga hata billion Mia tano, wahonge wazo lako lisifike kokote.

Nchi hii hamna kitu kinaitwa maslahi ya umma, kuna maslahi ya chama na maslahi binafsi tu
Suluhu ni KATIBA MPYA
 
Uneuwa, umepiga sururu ya kichwa, sidhani kama ChawaWaMama atainuka kukujibu
Mnanipotezea muda ngoja niendelee kuangalia maazimisho ya vijana hapa Manyara na uzimaji wa mwenge. Baadaye tutapashana. Ila hakika sherehe zimependeza mno mno kuanzia kanisani, hakika Dkt Samia tunampenda sana watanzania, ni yeye tu mpaka 2040
 
Hapana kazi yetu chawa ni kuhakikisha kwenye majukwaa yote na sehemu ambazo Mama hawezi kufika tunamsemea, na hata hapa JF chawa tupo kibao wengine wapo na majina ya kawaida. Mkileta vihoja vyenu huwa tunavipangua mpaka mnaishiwa nguvu na hoja zinakufa. La bandari lipo wapi??
Lete uzi wanye hoja za kuishauri serikali kiuchumi
 
Matapeli nyie, kitanzi kinawahusu
Hapana kazi yetu chawa ni kuhakikisha kwenye majukwaa yote na sehemu ambazo Mama hawezi kufika tunamsemea, na hata hapa JF chawa tupo kibao wengine wapo na majina ya kawaida. Mkileta vihoja vyenu huwa tunavipangua mpaka mnaishiwa nguvu na hoja zinakufa. La bandari lipo wapi??
 
PCCB, MAHAKAMA, na Taasisi zingine kila mwaka wanatangaza wameokoa billions of money.
Haya niambie hizo zilizookolewa na PCCB, MAHAKAMA, na Taasisi zingine zimeleta maendeleo gani?
Solution uliyoweka ni ndogo na impact yake ni ndogo kama hiyo gesi hatuichakati na kuisindika wenyewe.
Huwezi kuwa tajiri kwa kutumia kitu kilichozalishwa, kuchakatwa na kusindikwa na mwenzako
 
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.

Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.

Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.

Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.

Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.

Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.

Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.

Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.

Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.

JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Wewe ni great thinker.I wish ungekuwa rafiki yangu
 
Mnanipotezea muda ngoja niendelee kuangalia maazimisho ya vijana hapa Manyara na uzimaji wa mwenge. Baadaye tutapashana. Ila hakika sherehe zimependeza mno mno kuanzia kanisani, hakika Dkt Samia tunampenda sana watanzania, ni yeye tu mpaka 2040
Bado unaamini mwenge unaleta amani? Upelekeni Israel huko tuone mtakavyochekesha
 
Wazo zuri sana.

Shida inakuja, je hiyo Gesi bado ni Mali yetu kama Taifa ama tayari ina wamiliki Binafsi?
 
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.

Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.

Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.

Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.

Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.

Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.

Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.

Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.

Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.

JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Unafikiri watakuelewa! Wamiliki wenyewe wa hiyo biashara ya mafuta utakuta ndiyo hao hao unawapa huu ushauri.

Hii nchi ni ngumu kuliko unavyofikiri. Uzalendo hakuna! Badala yake ubinafsi na maslahi binafsi, ndiyo vimepewa kipaumbele.
 
Azimio la Arusha tusingelitupilia mbali leo hii tusongekua na Viongozi wanaofanya biashara.
JK Nyerere tutakukumbuka daima.
 
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.

Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.

Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.

Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.

Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.

Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.

Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.

Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.

Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.

JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.

Well said
 
Back
Top Bottom