Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

Umenena vyema
 
Uzi ufungiwe, unahatsrisha usalama wa biashara za wazito wa CCM.

Bandiko lako lingefaa sana wakati wa Magufuli
 
Hilo likifanikiwa gesi haiwezi kuuzwa 1500 tena kwa kilo. Itauzwa 3000 tutarudi kule kule kwenye mafuta. Yani kiuchumi watumiaji wakiongezeka bei inatakiwa ishuke zaidi walau 1000 kwa kilo ila haitakuwa hivyo. Wanasiasa wote watataka wamiliki vituo vya gesi na kupandisha mabei kadri wanavyojiskia.
 
Uzi ufungiwe, unahatsrisha usalama wa biashara za wazito wa CCM.

Bandiko lako lingefaa sana wakati wa Magufuli
Na Magufuli kwa jinsi alivyokuwa sharp thinker ungeshangaa namna ambavyo angepambania vituo vya gesi viwe vingi kwa mda mfupi sana ku combat hio shida ya mafuta. Japo yasingefika elfu 3 akiwapo madarakani.
 
Wazo ni jema sana,
Tatizo tu ni kwamba wenye kufanya maamuzi ndio wenye kufanya biashara ya kuagiza mafuta! So conflict of interest is obvious!
 
Safi kabisa mkuu wazi jema hili..lakini washauri wa Raisi ni akina KITENGE. Sina uhakika kama watafanyia kazi.

Idara ya usalama wa Taifa imelala usingizi wa pono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…