Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

Zipo njia mbadala za kuzalisha mafuta kama veta wakifunza watu wazalishe wauze zitaokoa uchumi dhidi ya uhaba wa dollar.

Brazil 80% ya mafuta wayatumiayo ni mbadala wa mafuta yatokayo ardhini wanazalisha wenyewe kupitia malighafi tele tulizo nazo nchini
 
Na Magufuli kwa jinsi alivyokuwa sharp thinker ungeshangaa namna ambavyo angepambania vituo vya gesi viwe vingi kwa mda mfupi sana ku combat hio shida ya mafuta. Japo yasingefika elfu 3 akiwapo madarakani.
Mama naye ni chawa wa Kikwete, Rostam Aziz na Kinana
 
Wazo ni nzuri ila Katika makosa makubwa serikali itayofanya ni kufanya hilo zoezi chini ya jeshi sijui nani...

Hapo mm ninachoon serikali irahisishe sheria, kodi na vifaa vya gas ili wawekezaji na watu binafsi wafanye hio kazi ni mwaka tu tz zima itakuwa na vituo hizo na vitakuwa vizuri tu.

Mfano usambazaji wa gas za majumbani umekuwa rahisi sana sababu ni wafanyabiashara wenye mitaji yao ndio suppliers.
Tofauti na hapo tunatengeneza bomu ambalo kulizima ni ngumu.
 
Bio gas na alternative energy ni muhimu kwa taifa letu. Kuna ethanol inatoka kwenye miwa, itumike kama petrol ⛽ na mafuta ya nyonyo/ mbarika/ mbono kaburi yatumike kama mbadala wa diesel
 
Well said Kirusi covid 19
 
Tajiri mkuu wa matajiri wanyonge na mtetezi wa masuala muhimu, umeongea points muhimu sana, kijuba zaidi.....
 
Mama naye ni chawa wa Kikwete, Rostam Aziz na Kinana
Anazingua mno. Hopeless ni yule mtu ambaye hata kufuatilia vitu vya msingi vya kitaifa anashindwa. Yeye anataka atafuniwe kila kitu ame delegate system iko corrupt
 
Gesi ya mgao...
Umeme wa mgao...
Tatizo letu ni uwezo mdogo wa kuendesha miradi mikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…