Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

Steve Nyerere hakuwepo msafara WA kwenda India lakini bado mmeshupaa kabisa bila hata kujiuliza...ushahidi uko wapi
 
Ww sasa unataka kutuharibia deal zetu mjini wenzio tuna 20%zetu humo
 

TPDC wanatakiwa kutengeneza pipeline kwenda kwenye nyumba za watu.

Vituo vya hivi wamesha chelewa Taifa gas imwshawekeza sana kwenye hili

Wakitengeneza pipeline na kuweka mpaka nyumbani watu hawatakuwa na ulazima wa mitungi na njia hii wanaweza kuwalipisha Taifa gas na mashirika mengine kwa usafirishaji
 
Jeshi limekosa watu wenye mapana ya fikra, wanawaza ujingaujinga, mawazo very tiny
hili la kujenga maeneo ya starehe/mabaa kando ya kambi zao halijakaa sawa, kama njia ya vitega uchumi.
 


 
Naona walianza kusambaza Mwenge Nzasa, sijui project imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…