Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Watu wabaya sana hawaMkwere, Muajemi na Msomali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wabaya sana hawaMkwere, Muajemi na Msomali
MashallahWell said
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.
Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.
Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.
Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.
Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.
Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.
Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.
Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.
Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.
JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Hii ndio tabia ya marais wote wa ccm.Huo ndio ukweli mchungu, johnthebaptist, chawa wa mama, ChawaWaMama , Lucas mwashambwa, jingalao, Pascal Mayalla
Mbaya zaidi mama naye anapenda sana kusifiwa kuliko kupewa mawazo magumu.
hili la kujenga maeneo ya starehe/mabaa kando ya kambi zao halijakaa sawa, kama njia ya vitega uchumi.Jeshi limekosa watu wenye mapana ya fikra, wanawaza ujingaujinga, mawazo very tiny
Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na nje ya nchi kwa kodi zetu na hawana mchango chanya wowote kwa taifa letu. Mfano, Steve Nyerere alienda India kwa gharama zetu kufanya nini? Hii ni kashfa kwa idara ya usalama wa Taifa, ilitosha kabisa kumtoa Mkurugenzi wa Idara Ofisini.
Mimi sio mwanasiasa wala mtu wa lawama, ni mtu wa solutions. Kama mimi nilikuwa fukara na leo nimekuwa TAJIRI MKUU WA MATAJIRI basi naamini kwamba naweza kuishauri serikali iyatumie mawazo na fikra zangu ili iweze kujinasua na ufukara na kutunisha akiba yake ya fedha za kigeni.
Leo nitaongelea eneo moja tu, ambalo serikali inaweza kuokoa mamilioni ya dola kwa mtaji kidogo tu na ika stabilise uchumi na kupunguza sana utegemezi.
Tanzania tumekuwa watumwa wa kiuchumi. Hatuna uwezo wa kudhibiti mfumuko wa bei unaosababishwa na soko la mafuta ulimwenguni, kwa kuwa tunahitaji mafuta kwenye shughuli zetu za kila siku, lakini hatuzalishi mafuta. Hivyo tunatumia mamilionibya fedha za kigeni kuagiza mafuta.
Nini tufanye?
Serikali isambaze vituo vya kujazia gesi asilia nchi nzima. Badala ya JWTZ kufungua ma bar, kumbi za harusi na ma fremu, wasaidiane na TPDC kuweka vituo vya kujaza gesi asilia nchi nzima.
Itungwe sheria kali kwamba Magari yote ya serikali, ya binafsi, ya abiria na mizigo yafungwe mfumo wa kutumia gesi asilia.
Gesi asilia ni shilingi 1,500/ kwa kilo na inakupeleka zaidi ya mara mbilì ya umbali ambao mafuta yangefika. Bei ya mafuta ni zaidi ya 3,000 na bei inazidi kupanda na hatuna namna ya kudhibiti mfumuko huo.
Kwa kufanya hivi, serikali itaokoa mamilioni ya dola zinazopotea kwenye uagizaji wa mafuta.
Pia serikali itaweza kudhibiti upandaji holela wa nauli, hii itapelekea mwananchi kupata huduma kwa bei nafuu kwani gharama za usafiridhaji zitakuwa chini.
JamiiForums under Maxence Melo wazo hili wapeni wizara ya fedha na wizara ya nishati. Wakiona lina tija walifanyie kazi, kama wanapenda kubaki na umasikini wa wananchi, basi tuendelee na mfumo uleule wa miaka yoye.
Naona walianza kusambaza Mwenge Nzasa, sijui project imeishia wapi?TPDC wanatakiwa kutengeneza pipeline kwenda kwenye nyumba za watu.
Vituo vya hivi wamesha chelewa Taifa gas imwshawekeza sana kwenye hili
Wakitengeneza pipeline na kuweka mpaka nyumbani watu hawatakuwa na ulazima wa mitungi na njia hii wanaweza kuwalipisha Taifa gas na mashirika mengine kwa usafirishaji
Aibuhili la kujenga maeneo ya starehe/mabaa kando ya kambi zao halijakaa sawa, kama njia ya viteva uchumi.