Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba

Mimi nafanya kazi mwanza mjini lumumba

Mlango mmoja wanafungua jumatatu na alihamisi
Naomba kura yako boss

kuna mtu nlimuuliza akanambia mlango mmoja wanafungua malobota saa tisa uck je hii ni kweli au ukweli ni upi

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Uongo marobota uwa wanafungua kwazia saa 12 asubuhi

Naomba kura yako
 
Nakubali sana hii kazi
Pamoja boss

Naomba kura yako

Mkuu ivi nikitaka kuuza viatu ivi kwa kuzungusha kwenye minada(hasa minada ya vijijini),natakiwa nichukue viatu kwa kupoibt au kwenye kiroba?
Innocent Kirumbuyo
 
Kupoint ndio vizuri ila tafuta vile vimekatwa bei
Naomba nipigie kura

Mazee mbona hutupi muendelezo nataka kujoin mzee unipe mwongozo
 
Hello

Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu

Kwa kweli nawashukuru sana mlipokea ile biashara kwa mikono miwili na watu walinipongeza sana wengine kupitia ule uzi waliijua biashara ya viatu na kufungua maduka magoli nadhani paka sasa maisha yao yamebadilika.

Kwa upande wangu nikiri nimepokea simu nyingi sana na kuonana na watu wengi sana waliokuwa wanataka kuifanya biashara ya viatu .

Kwa kweli kila aliyekuja kwangu nilimpa ushirikiano mzuri na kumsaidia kwa ushauri na kuwatia moyo

Kwenye ule uzi mimi nilikuwa naelezea biashara ya viatu vya special tu

Ila katika watu kutoa maoni kuna mdau mmoja Kyawanjubu alitoa maoni yake kuhusu biashara ya viatu vya mtumba nadhani ile comment yake ni best kabisa kwenye ule uzi .

Kupitia ile comment nilipata wazo la kufungua biashara ya viatu vya mtumba

Kwa kweli niseme wazi biashara ya viatu vya mtumba ukiwa seriously kabisa inabadili maisha yako

Baada ya kusoma yale maoni niliamua nitumie hiyo fursa kufungua biashara ya viatu vya mtumba mara moja

Nilifikiri ni wapi eneo zuri la kufungua hiyo biashara ndio nikakumbuka nje ya mjini kidogo nina eneo langu niliweka hapo kakibanda nauza juis maji nk

Niliona ni sehemu nzuri itayonifaa ikabidi niachane na biashara ya kuuza vinywaji nifunguwe viatu vya mtumba

Kwa haraka sana nikatafuta kijana nikamlipa anirekebishie ilo eneo akapanga vizuri mfuko nikapata level nzuri

Nikamuita fundi akaja kunitengenezea banda

Baada ya matengenezo kukamilika nilichukuwa laki moja nikaenda mlango mmoja kuperemba viatu vya hiyo bei

Kwasababu nilikuwa na mtaji mdogo nilikuwa natafuta viatu vya elfu 6000 elfu 8000 nilipata peaa zangu kadhaa nikaenda nyumbani nikavisafisha vizuri kisha nikaenda golini kwangu kutega nashukuru Mungu siku ya kwanza tu niliuza pea mbili moja niliuza 22000 hiki kiatu nilichukuwa kwa 8000 na kingine 15000 nilikinunua 6000

Kesho yake tena mapema nilienda lango kutafuta viatu vingine kuendelea na biashara ikawa nauza pea moja mbili kwa siku ata tano

Hii biashara ni nzuri sana ina faida kubwa sana kwasababu kwa mwezi lazima niwe na faida 200000 au laki na nusu .

Ndani ya huu mwaka nimeongeza goli lingine la viatu na mambo yangu yapo vizuri kabisa .

nimshukuru Kyawanjubu kwa maoni yake mazuri niwashukuru wote walioshiriki kwenye ule uzi wangu wa kwanza Mungu awabariki sana
Mwisho

Nakaribisha maoni maswali na ushauri

Asante Sana

View attachment 1944305View attachment 1944306View attachment 1944336View attachment 1944337View attachment 1944338View attachment 1944339View attachment 1944340View attachment 1944341View attachment 1944342View attachment 1944345View attachment 1944346View attachment 1944347View attachment 1944348View attachment 1944349View attachment 1944350View attachment 1944351View attachment 1944352View attachment 1944353
Mkuu viatu unachukulia wapi? Mimi nina mtaji wa elfu themanini kianzio vipi kiasi hicho kitatosha kama kianzio na sina kibanda
 
Ndugu zangu napitia kipindi kigumu kiuchumi,kama kuna mdau anaweza niwezesha baloo mojaa na skulli begi,au ladies shoes,au mikoba tuingie mkata niwe nalipaa kwa awamu,nina frame,ninijinaa,nina mzigoo ila nataka wa ku busti,napatikana mwanza.
 
Hello

Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu

Kwa kweli nawashukuru sana mlipokea ile biashara kwa mikono miwili na watu walinipongeza sana wengine kupitia ule uzi waliijua biashara ya viatu na kufungua maduka magoli nadhani paka sasa maisha yao yamebadilika.

Kwa upande wangu nikiri nimepokea simu nyingi sana na kuonana na watu wengi sana waliokuwa wanataka kuifanya biashara ya viatu .

Kwa kweli kila aliyekuja kwangu nilimpa ushirikiano mzuri na kumsaidia kwa ushauri na kuwatia moyo

Kwenye ule uzi mimi nilikuwa naelezea biashara ya viatu vya special tu

Ila katika watu kutoa maoni kuna mdau mmoja Kyawanjubu alitoa maoni yake kuhusu biashara ya viatu vya mtumba nadhani ile comment yake ni best kabisa kwenye ule uzi .

Kupitia ile comment nilipata wazo la kufungua biashara ya viatu vya mtumba

Kwa kweli niseme wazi biashara ya viatu vya mtumba ukiwa seriously kabisa inabadili maisha yako

Baada ya kusoma yale maoni niliamua nitumie hiyo fursa kufungua biashara ya viatu vya mtumba mara moja

Nilifikiri ni wapi eneo zuri la kufungua hiyo biashara ndio nikakumbuka nje ya mjini kidogo nina eneo langu niliweka hapo kakibanda nauza juis maji nk

Niliona ni sehemu nzuri itayonifaa ikabidi niachane na biashara ya kuuza vinywaji nifunguwe viatu vya mtumba

Kwa haraka sana nikatafuta kijana nikamlipa anirekebishie ilo eneo akapanga vizuri mfuko nikapata level nzuri

Nikamuita fundi akaja kunitengenezea banda

Baada ya matengenezo kukamilika nilichukuwa laki moja nikaenda mlango mmoja kuperemba viatu vya hiyo bei

Kwasababu nilikuwa na mtaji mdogo nilikuwa natafuta viatu vya elfu 6000 elfu 8000 nilipata peaa zangu kadhaa nikaenda nyumbani nikavisafisha vizuri kisha nikaenda golini kwangu kutega nashukuru Mungu siku ya kwanza tu niliuza pea mbili moja niliuza 22000 hiki kiatu nilichukuwa kwa 8000 na kingine 15000 nilikinunua 6000

Kesho yake tena mapema nilienda lango kutafuta viatu vingine kuendelea na biashara ikawa nauza pea moja mbili kwa siku ata tano

Hii biashara ni nzuri sana ina faida kubwa sana kwasababu kwa mwezi lazima niwe na faida 200000 au laki na nusu .

Ndani ya huu mwaka nimeongeza goli lingine la viatu na mambo yangu yapo vizuri kabisa .

nimshukuru Kyawanjubu kwa maoni yake mazuri niwashukuru wote walioshiriki kwenye ule uzi wangu wa kwanza Mungu awabariki sana
Mwisho

Nakaribisha maoni maswali na ushauri

Asante Sana

View attachment 1944305View attachment 1944306View attachment 1944336View attachment 1944337View attachment 1944338View attachment 1944339View attachment 1944340View attachment 1944341View attachment 1944342View attachment 1944345View attachment 1944346View attachment 1944347View attachment 1944348View attachment 1944349View attachment 1944350View attachment 1944351View attachment 1944352View attachment 1944353

Hongera Inno
 
Back
Top Bottom