Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
- Thread starter
-
- #81
Mimi nafanya kazi mwanza mjini lumumbaunafanyia kazi mwanza sehem gan boss mm nije uniongezee maarifa juu ya hii biashara na je lango lango siku nzur wanayofungua malobota ya viatu ni ck gani boss
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Naomba kura yako bossMimi nafanya kazi mwanza mjini lumumba
Mlango mmoja wanafungua jumatatu na alihamisi
kuna mtu nlimuuliza akanambia mlango mmoja wanafungua malobota saa tisa uck je hii ni kweli au ukweli ni upiMimi nafanya kazi mwanza mjini lumumba
Mlango mmoja wanafungua jumatatu na alihamisi
Uongo marobota uwa wanafungua kwazia saa 12 asubuhikuna mtu nlimuuliza akanambia mlango mmoja wanafungua malobota saa tisa uck je hii ni kweli au ukweli ni upi
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Pamoja bossNakubali sana hii kazi
Kupoint ndio vizuri ila tafuta vile vimekatwa beiMkuu ivi nikitaka kuuza viatu ivi kwa kuzungusha kwenye minada(hasa minada ya vijijini),natakiwa nichukue viatu kwa kupoibt au kwenye kiroba?
Innocent Kirumbuyo
Naomba nipigie kuraKupoint ndio vizuri ila tafuta vile vimekatwa bei
Kivipi Mkuu hapo sijaelewa,Kupoint ndio vizuri ila tafuta vile vimekatwa bei
Mkuu unakuta wanefungua marobota ata kumi alafu watu wamepoit vikabaki hapo Sasa wewe unaenda kunua kwa jumla vyoteKivipi Mkuu hapo sijaelewa,
Mkuu nipe iyo connection apo mwanzaMkuu unakuta wanefungua marobota ata kumi alafu watu wamepoit vikabaki hapo Sasa wewe unaenda kunua kwa jumla vyote
SoC 2022 - Jinsi biashara ya viatu inavyonitoa mavumbini pitia huu uzi nimeeleza vizuri
Mkuu viatu unachukulia wapi? Mimi nina mtaji wa elfu themanini kianzio vipi kiasi hicho kitatosha kama kianzio na sina kibandaHello
Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu
Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha
Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...www.jamiiforums.com
Kwa kweli nawashukuru sana mlipokea ile biashara kwa mikono miwili na watu walinipongeza sana wengine kupitia ule uzi waliijua biashara ya viatu na kufungua maduka magoli nadhani paka sasa maisha yao yamebadilika.
Kwa upande wangu nikiri nimepokea simu nyingi sana na kuonana na watu wengi sana waliokuwa wanataka kuifanya biashara ya viatu .
Kwa kweli kila aliyekuja kwangu nilimpa ushirikiano mzuri na kumsaidia kwa ushauri na kuwatia moyo
Kwenye ule uzi mimi nilikuwa naelezea biashara ya viatu vya special tu
Ila katika watu kutoa maoni kuna mdau mmoja Kyawanjubu alitoa maoni yake kuhusu biashara ya viatu vya mtumba nadhani ile comment yake ni best kabisa kwenye ule uzi .
Kupitia ile comment nilipata wazo la kufungua biashara ya viatu vya mtumba
Kwa kweli niseme wazi biashara ya viatu vya mtumba ukiwa seriously kabisa inabadili maisha yako
Baada ya kusoma yale maoni niliamua nitumie hiyo fursa kufungua biashara ya viatu vya mtumba mara moja
Nilifikiri ni wapi eneo zuri la kufungua hiyo biashara ndio nikakumbuka nje ya mjini kidogo nina eneo langu niliweka hapo kakibanda nauza juis maji nk
Niliona ni sehemu nzuri itayonifaa ikabidi niachane na biashara ya kuuza vinywaji nifunguwe viatu vya mtumba
Kwa haraka sana nikatafuta kijana nikamlipa anirekebishie ilo eneo akapanga vizuri mfuko nikapata level nzuri
Nikamuita fundi akaja kunitengenezea banda
Baada ya matengenezo kukamilika nilichukuwa laki moja nikaenda mlango mmoja kuperemba viatu vya hiyo bei
Kwasababu nilikuwa na mtaji mdogo nilikuwa natafuta viatu vya elfu 6000 elfu 8000 nilipata peaa zangu kadhaa nikaenda nyumbani nikavisafisha vizuri kisha nikaenda golini kwangu kutega nashukuru Mungu siku ya kwanza tu niliuza pea mbili moja niliuza 22000 hiki kiatu nilichukuwa kwa 8000 na kingine 15000 nilikinunua 6000
Kesho yake tena mapema nilienda lango kutafuta viatu vingine kuendelea na biashara ikawa nauza pea moja mbili kwa siku ata tano
Hii biashara ni nzuri sana ina faida kubwa sana kwasababu kwa mwezi lazima niwe na faida 200000 au laki na nusu .
Ndani ya huu mwaka nimeongeza goli lingine la viatu na mambo yangu yapo vizuri kabisa .
nimshukuru Kyawanjubu kwa maoni yake mazuri niwashukuru wote walioshiriki kwenye ule uzi wangu wa kwanza Mungu awabariki sana
Mwisho
Nakaribisha maoni maswali na ushauri
Asante Sana
View attachment 1944305View attachment 1944306View attachment 1944336View attachment 1944337View attachment 1944338View attachment 1944339View attachment 1944340View attachment 1944341View attachment 1944342View attachment 1944345View attachment 1944346View attachment 1944347View attachment 1944348View attachment 1944349View attachment 1944350View attachment 1944351View attachment 1944352View attachment 1944353
Huyo inafaa apigwe bakoraa mpaka asemee mamaaa kuda dekii vijana wa siku hizi ni wavivu sana kazi ujinga n starehe life is not easy life ni kujitumaaaa.Safi sana,halafu mtu anakaa,anasema haoni cha kufanya
Kianzio mkuu!Safi sana,halafu mtu anakaa,anasema haoni cha kufanya
Hello