FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 399
- 794
Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nafiikilia this man failed a lot of times! His comeback are always on point, this time around mambo yanaoneka kuwa tofautiHuyu mhindi huyu inadaiwa ni rafiki yake waziri mkuu wa India na anaunua kila chombo cha habari kinachoipinga serikali.
Musk hisa za tesla zinashuka kwasababu watu wanahisi amepunguza focus kwenye tesla maana ana mambo mengi
Mkuu CCM tena,Sababu ni CCM
Halafu nadhani hayuko kwenye terms nzuri na serikali ya biden. Halafu nahisi kununua Twitter haikuwa move nzuri maana hata makampuni unaona yanajiondoa kwenye matangazo na pia hata kura alizoanzisha mwenyewe zimeonyesha watu wanataka ajiondoe kuwa CEO.Dah nafiikilia this man failed a lot of times! His comeback are always on point, this time around mambo yanaoneka kuwa tofauti
Sema nilichojifunza mkuu ukitoboa kwa risk kubwa kufilisika ni muda wwte ule, Elon musk alianza kujisahau sanaKuna siku Elon na Jeff walikuwa wanamcheka na kumdhihaki Mark Zuckerberg alipoporomoka toka 140 billion hadi 40. Hicho kitu kilimuuma sana Mark. Sasa nashangaa jamaa Kwanini aumie wakati bado kabakki na 40 billion. Kina mpwayungu village take home 240k madaf na wameridhika hawana presha na stress na furaha
Zuckberg inadaiwa hata wafanyakazi wa meta wenyewe wana mashaka na vision yake ya metaverse.Kuna siku Elon na Jeff walikuwa wanamcheka na kumdhihaki Mark Zuckerberg alipoporomoka toka 140 billion hadi 40. Hicho kitu kilimuuma sana Mark. Sasa nashangaa jamaa Kwanini aumie wakati bado kabakki na 40 billion. Kina mpwayungu village take home 240k madaf na wameridhika hawana presha na stress na furaha
Huku Uswaa wangesema amekiuka mashartiView attachment 2460192View attachment 2460191
Takwimu za Forbes znaonyesha khali ya bwana musk kuzd kua tata ? Je tunayapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Elon kiherehere chake tu kujifanya kujua mengi. Pia alilewa na sifa. Alibadilika hakutaka kununua Twitter ila Twitter nao wa kakomaa kumpeleka Mahakamani ananunue. Akakomaa dakika za mwisho ikabidi tu anunue. Kwa hasira zake za kulazimishwa kununua Twitter akaanza na hasira mbwembwe vitisho.Sema nilichojifunza mkuu ukitoboa kwa risk kubwa kufilisika ni muda wwte ule, Elon musk alianza kujisahau sana
That was indeed a wrong shot!Zuckberg inadaiwa hata wafanyakazi wa meta wenyewe wana mashaka na vision yake ya metaverse.
Hisa za meta zinashuka kwa kasi kwasababu ya hii project, wamechoma mabilion ya dollar kwenye metaverse lakini ripoti yao wenyewe inaonyesha kuwa wati wanaoingia hawarudi
Tanganyika yetu 🤣Huku Uswaa wangesema amekiuka masharti
Yah nimesikia about that app.That was indeed a wrong shot!
And mbaya Zaid alingilia personal space za activists wengi wa Twitter,
Kuna App mbadala yenye ufanano na Twitter ishatengezwa unaambiwa thouthands of users washa sign up y
Wanadai anahasira na stress kutoka billionaire club top ten. Akiingia ofisini ni kushout tu. Kuna wakati aliingia na samurai sword na kuwatishia wafanyakaz. Anapunguzaga stress kwa kusurf kwenye himaya yake Hawaii. Kina johnthebaptist hawana presha kabisa na buku 7 za Lumumba kila siku kumtukana Mbowe chadema na kuwadhihaki wachaga.Zuckberg inadaiwa hata wafanyakazi wa meta wenyewe wana mashaka na vision yake ya metaverse.
Hisa za meta zinashuka kwa kasi kwasababu ya hii project, wamechoma mabilion ya dollar kwenye metaverse lakini ripoti yao wenyewe inaonyesha kuwa wati wanaoingia hawarudi
Katiba mpya Ni suluhisho.Sababu ni CCM
Inshort,he did a wrong moveYah nimesikia about that app.
Sijui kama ataweza irudisha kwenye zama zake
Wanadai anahasira na stress kuroka billionaire club top ten. Akiingia ofisini ni kushout tu. Kuna wakati aliingia na samurai sword na kuwatishia wafanyakaz. Anapunguzaga stress kwa kusurf kwenye himaya yake Hawaii. Kina johnthebaptist hawana presha kabisa na buku 7 za Lumumba kila siku kumtukana Mbowe chadema na kuwadhihaki wachaga.