Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua metaverse ni sawa na wakati internet inaanza, kuna vitu kibao na makampuni kibao yaliibuka halafu yakafa. Kila mtu aliona ni good thing but how to monetize it and exploit it ndipo ikawa try and error.Wanadai anahasira na stress kuroka billionaire club top ten. Akiingia ofisini ni kushout tu. Kuna wakati aliingia na samurai sword na kuwatishia wafanyakaz. Anapunguzaga stress kwa kusurf kwenye himaya yake Hawaii. Kina johnthebaptist hawana presha kabisa na buku 7 za Lumumba kila siku kumtukana Mbowe chadema na kuwadhihaki wachaga.
Jina la hio app mbadala Ni lipi?That was indeed a wrong shot!
And mbaya Zaid alingilia personal space za activists wengi wa Twitter,
Kuna App mbadala yenye ufanano na Twitter ishatengezwa unaambiwa thouthands of users washa sign up y
Ila 2023 Elon Musk atarudi kwa kishindo sana kwenye Tesla has prodakshen za Tesla Cybertruck. Yani itakuwa moto wa kuotea mbali. Ilibidi zianze kuzwa 2019 wakahirisha 2022 tena wamehairisha hadi 2023 mwishoni. Elon atafikisha 300 billion
Mkuu itakua battle, 2023 it's a year of Big Gamble, ntanunua hisa za Tesla afu nafanya kama kuzisahau 2023 Nzima, that man is something elseIla 2023 Elon Musk atarudi kwa kishindo sana kwenye Tesla has prodakshen za Tesla Cybertruck. Yani itakuwa moto wa kuotea mbali. Ilibidi zianze kuzwa 2019 wakahirisha 2022 tena wamehairisha hadi 2023 mwishoni. Elon atafikisha 300 billion
Kwanini usinunue kwa wingi gold and silver utatoka mazima. Real gold and silver?Mkuu itakua battle, 2023 it's a year of Big Gamble, ntanunua hisa za Tesla afu nafanya kama kuzisahau 2023 Nzima, that man is something else
🤣🤣🤣🚮Kuna siku Elon na Jeff walikuwa wanamcheka na kumdhihaki Mark Zuckerberg alipoporomoka toka 140 billion hadi 40. Hicho kitu kilimuuma sana Mark. Sasa nashangaa jamaa Kwanini aumie wakati bado kabakki na 40 billion. Kina mpwayungu village take home 240k madaf na wameridhika hawana presha na stress na furaha
Currently waliannounce kua itaitwa SpillJina la hio app mbadala Ni lipi?
Hili ndilo neno kubwa la leoTupambane na Hali zetu tu, huyo jamaa hata akifirisika hawezi kufanana na wewe ukiwa umetajirika.
Mkuu tatizo manipulation imekua sana , kila Dollar ikigain tu strength basi bei ya Gold ni maumivu
Mfano mwez uliopita ndo Gold iliweza kurecover kidogo kutoka kwa maporomoko kama ya miez 8
Musk anacheza game of mind to fool investors...Huyu mhindi huyu inadaiwa ni rafiki yake waziri mkuu wa India na anaunua kila chombo cha habari kinachoipinga serikali.
Musk hisa za tesla zinashuka kwasababu watu wanahisi amepunguza focus kwenye tesla maana ana mambo mengi
Hebu nieleweshe hapa kidogo mkuu, why alishtakiwa kwa kutaka kutoinunua Twitter? kwani ilikua ni lazima ainunu? na kwa nini ilikua lazima ainunue hadi alipokataa kuinunua wakampeleka koltini?Elon kiherehere chake tu kujifanya kujua mengi. Pia alilewa na sifa. Alibadilika hakutaka kununua Twitter ila Twitter nao wa kakomaa kumpeleka Mahakamani ananunue. Akakomaa dakika za mwisho ikabidi tu anunue. Kwa hasira zake za kulazimishwa kununua Twitter akaanza na hasira mbwembwe vitisho.
I approve 🎉Elon Musk ni kiumbe mwingine, huyo jamaa risk anazochukua sio kawaida, masaa anayofanya kazi ni hatari kwa afya, jamaa anafanya kazi masaa 16-17 kwa siku, ye mwenyewe anasema hashauri mtu kufanya kazi kiasi hiko, in short Musk anapenda zaidi anachofanya...
Elon kwa kuherehere alishajicommit kununua Twitter. Baadaye akaghairi. Twitter ikabidi wafungue kesi. Elon ajawajibu bring it on.Hebu nieleweshe hapa kidogo mkuu, why alishtakiwa kwa kutaka kutoinunua Twitter? kwani ilikua ni lazima ainunu? na kwa nini ilikua lazima ainunue hadi alipokataa kuinunua wakampeleka koltini...
What did Elon Musk revolutionize in rocket science?View attachment 2460192View attachment 2460191
Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Hivi watu wanaelewa kwamba huu utajiri mostly ni utajiri wa makaratasi unaotegemea na stock prices?Sema nilichojifunza mkuu ukitoboa kwa risk kubwa kufilisika ni muda wwte ule, Elon musk alianza kujisahau sana