Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Huelewi unachoandika.Hoja ipi mkuu kiranga, I'll be more than glad kuijibu
Utajiri wa stocks kwa hawa ma CEO kwanza wanaangaliwa sana na Security and Exchange Commission, hawaamui tu kuuza stocks ovyo. Halafu, ukianza tu kuuza stocks ovyo, watu wanajulishwa Elon Musk anauza stocks ovyo, inatengeneza panic, kuna nini kinakuja? Watu wanaanza kuuza stocks ovyo, stock inashuka bei haraka sana katika muda mfupi sana.
Ndiyo maana hawa watu wanaweza kuwa na pesa nyingi sana za stock market, lakini hawapo liquid.
Sam Bankman-Fried alimwambia Elon Musk kwamba anataka kumpa dola bilioni 3 ili awe kati ya investors wanaowekeza Twitter, Elon Musk akauliza, does Sam Bankman-Fried even have 3 billion dollars in liquid money?
Wanajua kwamba utajiri wao umefungwa kwenye stocks, ndiyo maana hata Elon Musk alivyonunua Twitter, ilibidi auze stocks na atangaze kabisa anauza stock za Tesla ili kununua Twitter.
Siku Elon Musk alivyotangaza kuwa anauza stocks za Tesla ili kununua Twitter, stocks za Tesla zilishuka thamani kwa 7%, kwa siku moja tu.
Soma hapa.