Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

Utajiri wa Bwana Elon kuzidi kuporomoka, zipi sababu? Sisi kama watu wenye maono tunayapi ya kujifunza?

Huelewi unachoandika.

Utajiri wa strocks kwa hawa ma CEO kwanza wanaangaliwa sana na Security and Exchange Commission, hawaamui tu kuuza stocks ovyo. Halafu, ukianza tu kuuza stocks ovyo, watu wanajulishwa Elon Musk anauza stocks ovyo, inatengeneza panic, kuna nini kinakuja? Watu wanaanza kuuza stocks ovyo, stock inashuka bei haraka sana katika muda mfupi sana.

Ndiyo maana hawa watu wanaweza kuwa na pesa nyingi sana za stock market, lakini hawapo liquid.

Sam Bankman-Fried alimwambia Elon Musk kwamba anataka kumpa dola bilioni 3 ili awe kati ya investors wanaowekeza Twitter, Elon Musk akauliza, does Sam Bankman-Fried even have 3 billion dollars in liquid money?

Wanajua kwamba utajiri wao umefungwa kwenye stocks, ndiyo maana hata Elon Musk alivyonunua Twitter, ilibidi auze stocks na atangaze kabisa anauza stock za Tesla ili kununua Twitter.

Siku Elon Musk alivyotangaza kuwa anauza stocks za Tesla ili kununua Twitter, stocks za Tesla zilishuka thamani kwa 7%, kwa siku moja tu.

Soma hapa.

Good narration napenda
 
This is a logical fallacy. Kwani watu wakubwa zaidi yako hawawezi kukosea?
Mkuu Kiranga inaonekana unapitia wkt fulani ambao sio mzuri kihisia, umekua too sensitive kwa mtu muelewa kama mm nshatambua kua hauko SAWA ndo mana nmefuta comments zangu zote,
 
Elon Musk ni kiumbe mwingine, huyo jamaa risk anazochukua sio kawaida, masaa anayofanya kazi ni hatari kwa afya, jamaa anafanya kazi masaa 16-17 kwa siku, ye mwenyewe anasema hashauri mtu kufanya kazi kiasi hiko, in short Musk anapenda zaidi anachofanya.

Utajitri pia wa hawa jamaa unategemea na stock price za kampuni wanazomiliki,mfano Jeff hisa za Amazon zikishuka bei na net worth yake inashuka, hisa zikipanda net worth inapanda same kwa Musk na Tesla, same kwa Billgate na microsoft n.k

Lakini kwa field ambayo Musk ameigusa, unaweza ukaamka asubuhi ukaona taarifa ni 1st billionare kwa net worth ya 300 Billion Usd, katika watu wanaibadili dunia ni huyu jamaa kwa maana dunia ilipo ndipo yeye alipo the guy is the right person in the right place at the right time.
Elon ameibadili dunia kwa upande gani specifically?
 
ndo mana nmefuta comments zangu zote,
hapa nakuona wewe ni kilaza, kwanini ufute comments ilihali ulikua unanukuliwa ? sasa aliyekua anakunuu anaonekana ni kichaa kwa ujinga wako

naye atafuta comments, mtiririko mzima wa thread unakua useless
 
Mkuu Kiranga inaonekana unapitia wkt fulani ambao sio mzuri kihisia, umekua too sensitive kwa mtu muelewa kama mm nshatambua kua hauko SAWA ndo mana nmefuta comments zangu zote,
Watu wanaoweza kuagua hayo mambo, kanuni na miiko ya kazi zao haviwaruhusu kuagua hivyo mitandaoni.

Watu wanaoagua hivyo mitandaoni kama wewe, hawana utaalamu wa kuagua hivyo na wala hawajui miiko na kanuni za kazi ya uaguzi huo.

Do not flatter yourself.
 
Ulichokieleza hapo ndo hicho ambacho huwa nawaambia watu.

Kwamba utajiri wa hawa watu [mabilionea] siyo utajiri wa pesa taslimu zilizopo benki kwenye akaunti zao.

In a way, ni kama utajiri wa kufikirika unaotegemea kupanda na kushuka kwa masoko ya fedha.

Ndo maana hata Elon Musk alipoinunua Twitter, baadhi ya kiasi cha hela ilibidi akope benki.

I know Morgan Stanley coughed up about $3.5 billion. Bank of America pia walimpa mkopo pamoja na benki zingine za Japan, Ufaransa, na kwingineko.

Majuzi hapa Kanye West katoka kuwa bilionea wa bilioni takriban 4 za Kimarekani na kuwa milionea.

Kanye hakuwa na hayo mabilioni kwenye benki.

Balenciaga na wengine walipoamua kuacha kufanya naye kazi, ubilionea wake nao ukayeyuka.

Mabilionea wa kweli huwa ni akina Big Meech na akina El Chapo tu maana wao biashara zao hazihusiani na masoko ya fedha na hisa.
Kanye west naye ego ilimmaliza
 
Wewe umeshindwa kusoma kwa ufahamu.

Sina hakika kwamba unaweza kujadiliana kwa viwango vinavyotakiwa.
Kiranga I'll let this one slide, but if you choose war over peace I'll choose peace over war instead,

Deep down hata kama utajitanabaisha kwa arguments zako kikubwa ni kua you are too sensitive, haupo sawa and if i attacks you with my hydrogen facts like bomb ntakufanya uzd kujisikia vbaya Zaid,
I'll make you feel inferior na mm sitaki fanya ivo so I'll let this one slide.
 
You are not in a position to let anything slide.

On sensitivity. To the contrary.

You are the one who is too sensitive.

Why, you took offense to my rational questioning of your ability to read with comprehension.
 
Duu na huyu naye kiranga alivyomjibu huyu aishakuwa musk Elon Naona Mana ego na arrogance tayari imemu attack. Yaani huwa tunajimaliza wenyewe baadaye lawama tunatupia wengine
Kweli mkuu jamaa anajibu out of eagle, anahis hatujui how market works.
 
Mwamba amekuwa against na biden,CIA,FBI kwa sababu ya trump.
 
To the contrary.

You are the one who is too sensitive.

Why, you took offense to my rational questioning of your ability to read with comprehension.
Comprehension ipi unayoiongelea wewe? The fact that you think you can judge my capabilities makes me laugh! Inshort wewe ni mgonvi 🤣🙌
 
Mwamba amekuwa against na biden,CIA,FBI kwa sababu ya trump.
Kuna uchunguzi sijui wanamfanyia sijui wa Nini kuwa hela sijui alizopewa sijui zilifanyaje. Niliisoma sema sikuitilia mno maanani Ila nilidaka big idea tayari ameshaanza kuwinda na wanaamuru jeshi and wasiojulikana Basi. Huwa nachukua big picture sio kila every details
 
Comprehension ipi unayoiongelea wewe? The fact that you think you can judge my capabilities makes me laugh! Inshort wewe ni mgonvi 🤣🙌
You couldn't see comprehension if it was under your nose.

Inawezekana huwezi majadiliano ya brutal honesty na tough cold logic tu, nikikupa majadiliano hayo, kwa sababu wewe ni nyolonyolo wa akili unaniona mgomvi.
 
Elon ameibadili dunia kwa upande gani specifically?
Elon Musk kupitia kampuni yake Space X wamefanikiwa kutengeneza reusable rockets, licha ya hilo wanafanyika kazi project ili wanadamu ikiwemo mimi na wewe tuwe tuweze kwenda mwezini kama unavyokwenda China au South Africa.

Reusable rockets zimesaidia sana jamaa kurusha satellites kwenye low orbit ambapo zinasaidia upatikanaji wa huduma ya mtandao kwa urahisi na bei nafuu , jeshi la Ukraine linategemea pakubwa huduma hio katika wakati huu.

Jamaa anasema baada ya miaka 20 watu karibu 80,000 wataweza kuishi kwenye Mars, hapo bado anashughulikia masuala ya hyperloop ambapo ni usafiri wa chini ya ardhi ambao ni speed ya juu sana zaidi ya 1000km/hr, miji mikubwa kwa USA ile kutumia masaa kadhaa hyperloop itaweza kwenda kwa dakika chache tu.

In short siwezi elezea vyote jamaa ana project nyingi amefanya zilizobadili ulimwengu na bado kuna zaidi ya hivyo vinakuja.
 
Kiranga I'll let this one slide, but if you choose war over peace I'll choose peace over war instead,

Deep down hata kama utajitanabaisha kwa arguments zako kikubwa ni kua you are too sensitive, haupo sawa and if i attacks you with my hydrogen facts like bomb ntakufanya uzd kujisikia vbaya Zaid,
I'll make you feel inferior na mm sitaki fanya ivo so I'll let this one slide.
If you allow your opponent to enter into your mental space the war is already lost. Napenda mtu wa kuzidi kunitia emotional pains ili nafanya mazoezi how to handle bad moment or stress. Yaani nilipo najisomea how to make my mental to be stressproof, am learning mental skills. So Kama wewe nadhani unaweza ukawa mtt kwangu kunivuruga emotionally. Yaani Nina usugu unaoweza nipaka hata kinyesi halafu Ni take easy nikaendelea na maisha. Ama nimesha immunize mind yangu hata nikikutana wife kitandani nakuacha na take easy. Am always lifting heavy stress to my brain so that I build brain muscles like how we build physical muscles.

Hebu niambie hapo na Hilo bomu lako la h two
 
Elon Musk kupitia kampuni yake Space X wamefanikiwa kutengeneza reusable rockets, licha ya hilo wanafanyika kazi project ili wanadamu ikiwemo mimi na wewe tuwe tuweze kwenda mwezini kama unavyokwenda China au South Africa.

Reusable rockets zimesaidia sana jamaa kurusha satellites kwenye low orbit ambapo zinasaidia upatikanaji wa huduma ya mtandao kwa urahisi na bei nafuu , jeshi la Ukraine linategemea pakubwa huduma hio katika wakati huu.

Jamaa anasema baada ya miaka 20 watu karibu 80,000 wataweza kuishi kwenye Mars, hapo bado anashughulikia masuala ya hyperloop ambapo ni usafiri wa chini ya ardhi ambao ni speed ya juu sana zaidi ya 1000km/hr, miji mikubwa kwa USA ile kutumia masaa kadhaa hyperloop itaweza kwenda kwa dakika chache tu.

In short siwezi elezea vyote jamaa ana project nyingi amefanya zilizobadili ulimwengu na bado kuna zaidi ya hivyo vinakuja.
Sema sijui jamaa aliwaza NN kuhusu Twitter , n kitu itamchelewesha sana⚡
 
Elon kwa kuherehere alishajicommit kununua Twitter. Baadaye akaghairi. Twitter ikabidi wafungue kesi. Elon ajawajibu bring it on.

Baadaye akaona atashindwa tu hii kesi na kulipa hata Zaid ya bei ya kununua Twitter 44 billion. Siku ya mwisho kabla ya kesi kuanza akaamua tu isiwe soo akainunua shingo upande kwa kulazimishwa
Si kweli musk alisita kuinunua Kwasababu alihitaji apewe idadi ya real account za Twitter na apewe idadi ya inactive accounts.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom