mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Husda na roho mbayaAisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Husda na roho mbayaAisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Ni kawaida sana kwa wafanyabiashara kupanda na kushuka.Hata Bill gates aligaragazwa sana,hatimaye kapanda.Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
Haujaporomoka eleweni. Matajiri chipukizi wamechipuka wengi. Na wana mwendo kasi .kupanda ngazi.Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
We msenge sana nan muuza chipsUnafikiri biashara ya kiwanda ni kama hilo banda lako chipsi kwamba miaka miwili tu tayari aanze kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauza chipsi na nini mkuu
Si bora yeye alikuwa na matarajio ya kuinunua Arsenal,Watagemea nini kwenye hela kama za TB Joshua?! Halafu eti alitaka nunua Arsenal ?! Ndorobo kabisa...
Kuitamkia mabaya inchi yako ni kukosa uzalendoNingeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
Tuwekee source vinginevyo haya ni majungu tu.Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.