Robson majani
Member
- May 27, 2017
- 13
- 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Hahahahaaa! Mkuu, huyo ana mtindo ukimtupia swali likimshinda anasema asipangiwe. Hapendi.Swali zuri sana kwa John
We jamaa una akili sana. Wajuaji umewajibu vizuri sanaKuporomoka kwa utajiri kumesababishwa sana na kushuka kwa thamani ya Naira ambapo amewekeza sana Nigeria halafu soko la simenti linaushindani mkali,
Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
Dangote kawekeza Tanzania USD500Milioni tu. Kuwekeza huko siyo sababu ya kushukaKuwekeza Tanzania ni bora ukatalii mwezini..