Utajiri wa Dangote waporomoka; Sasa yuko nafasi ya 105 kutoka nafasi ya 51

Kweli wwe upeo wako waajabu sna,embu jiulize kuporomoka kwa uchumi wa dangote unanafasi ipi ktk maisha yako na pamoja na kuporomoka bado yupo ktk nafasi ya utajiri wwe unanafasi ipi ktk list ya matajiri hao,na akilekebisha uchumi wake baada ya miezi ijayo akavuka nafasi aliyo kuwa nayo awali wwe itakusaidia nni na utanufaika na nni kupanda kwake ktk utajiri huo.ndugu pambana na hali yako acha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watagemea nini kwenye hela kama za TB Joshua?! Halafu eti alitaka nunua Arsenal ?! Ndorobo kabisa...
 
Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha

hapa ni kazi tu.
Ni kawaida sana kwa wafanyabiashara kupanda na kushuka.Hata Bill gates aligaragazwa sana,hatimaye kapanda.
Uwekezaji wa Dangote Tanzania ni mdogo sana,dola milioni 500 tu,Nigeria pekee amewekeza zaidi ya dola bilioni mbili
 
billigeti pia kashuka vp kawekeza nae tz
 
Kama hauna uhakika wa jambo ni bora kukaa kimnya kuliko kuja kutuaminisha uzushi humu ndani thamani NAIRA imedrop as well ushindani wa biashara ya cement NIGERIA ndio root cause msipende unafki unafki hususani kny masuala ya kinchi kuwa mzalendo japo nusu upo tz na utazikwa hapa hapa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngejua hata mpunga wa kiwanda chake twara faida hajaanza iwazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…