Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Masikini wa Tz wana utajiri wa majungu aiseeNingeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
Ingekuwa vizuri ungeelezea kwa data ni kwa jinsi gani uwekezaji wa Dangote Bongo umefanya ashuke.
Wala hiyo siyo sababu, kushuka kwa sababu Naira hela ya Nigeria imeporomoka thamani.Ningeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
Haha.. tunayosafari ndefu mkuuHawezi kuelezea ameiona mahali ameichukua kama ilivyo......
Au umesahau kuwa sisi ni wajuzi wa kila kitu.....!!!!
Portion aliyowekeza Tanzania haifiki hata asilimia kumi ya utajiri wake. Acheni kuongea pumbaa muda mwingineNingeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
Ndo shida ya mbwa anapojua kutuma mesejiNingeshangaa, uwekeze Tanzania harafu utajiri wako uzidi kupanda, lazima usipojiongeza utaisha
hapa ni kazi tu.
conclusion za kijinga kabisaaKudrop kwa huyu bwana kumetokana na sera mbovu za kusimamia uchumi za Rais wa Nigeria. Hata uchumi wa Nigeria umeporomoka ikiwa pamoja na sarafu ya inchi yao.
Hapa Maguf ajifunze kitu.
Moja ya sera mbovu iloanzishwa na Rais wa Nigeria ni kuondoa hela za serikali kwenye mzunguko
Aisee!! Hivi ni kwa nini watu masikini hupenda kuona wenye nacho wanataabika? Hatari sana hii.
Hahahahaaa! Hata mpunga sina sasa nikipora mpenzi wako si itakuwa balaa. Mimi ninaye shemeji yako nilimuoa kabla ya uhuru wa Tanganyika.Tunamung'unya tu sukari-guru ya babu!Ndio nature ya mwanadam hyo. Hata ww ukiniona nina demu mzur lazma ummezee mate na utamani tuachane ili umchukue ww.
Mleta mada katumia vya arusha usishangaeKwaiyo kupanda kwa mmiliki wa AMAZON dhidi ya Bill Gates kuna relate na mambo ya Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kuwalipua basi tuTanzania kuna watu wa ajabu sana.....
Kila ni mjuzi wa kila kitu......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiiii
kishawekeza sasa atabomoa?Aachane na Tanzania atalost.