Kwani hizo pesa walizaliwa nazo?? Au mbowe hiyo nyumba ya dubai alizaliwa akaikuta??,kama jibu ni hapana basi kila kitu kinawezekana chini ya jua,kama tu ukiamua,halafu kijana acha kuishi kwa kujilinganisha,itaku cost sana maisha yako,usiangalia fulani kafanya nini,jiangalie wewe umefanya nini
Kama jamaa akikomaa na game,pengine anaweza kutangazwa Kwenye jarida maarufu la mastaa duniani FORBES MAGAZINE,jarida namba moja kwa kutangaza utajiri wa wasanii na watu maarufu duniani,kama ilivyokuwa kwa reginald mengi,rostam azizi pamoja mohamed dewji,kila kitu kinawezekana kwa sisi vijana kama tu tukiamua...