Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

Hana hiyo cash
 
Kwann usimshauri Samia amteue Elon Musk kuwa waziri wa mipango na fedha wa Tanzania??
 
Wenye hela hawana makelele. Hata wewe ukiwa nazo utakuwa kama yeye!
 
Unataka mama sa100 amkopeee nini πŸ˜„

Ova
 
Usipende kusikia sikia tu dogo.Dunia kiganjani pako.ila wewe huwezi kuelewa maana akili zako ni kama ulishakabidhi kwa mtu na wewe kubakia tu na kichwa kama mzigo tu wa misumari.πŸ˜†πŸ˜†
Punguza uchimvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…