Doh! Safari bado ndefHuo utajiri wa uchawi wa funza una version 2
1. Funza wanatoka kwenye mwili wako kisha wanageuka hela
2. Funza wanatoka mwilini mwako kisha wanakusanywa wanachanganywa na madawa yanakuwa majimaji au ungaunga unaweka kwenye eneo la biashara, wengine wanapaka, wengine wanakunywa, biashara hiyo inapata wateja wengi sana.
NB: kuna version nyingine wanasema dawa inatiwa kwenye mqundu kupitia bomba kubwa size ya chupa yenye dawa inazamishwa mqunduni kwa ndani kama siku 7 mpaka 21 mwako kisha unaanza kutoa funza mqunduni mwako unawaharisha.
Hizo story nilizisikia zamani kwenye kipindi cha RFA chenye story za kutisha.
Na yote ni ubatili mtupu.😂😂😂 Siku za mwanadamu ni chache na zimejaa mateso haki😂😂
Mtupuuuuuuu.Na yote ni ubatili mtupu.
😂😂 Sasa si ndo uchawi wenyewe sasa.. tungekuwa tunajua procedure tungeshafanya😡😡funza wanakuwaje hela ?
Kweli hauna maana.. ila huu sijaona masharti magumu.Unapata utajiri lakini hurusiwi kuwa na mwanamke,huli vizuri labda ukoko kwa mama ntilie,huvai vizuri,unaweza kuwa na jumba kali lakini unalala chooni.
Sasa utajiri kama huo wa kazi gani?
HatariDoh! Safari bado ndef