Utajiri wa Funza

Utajiri wa Funza

my crush

Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
52
Reaction score
100
Amani iwe nanyi.

Katika pita pita zangu huko TikTok, nikaona "anonymous member" mmoja anaelezea utajiri wake ambao kwa sasa hana amani nao na hautaki tena.

Binafsi (sijui ni njaa) sijaona kama ni mbaya, au sijaona mateso hapo. Naona ni kama tuu kazichoka pesa, amezimiss shida.

Ok, wenyeji wa Tunduma huko mnijuze kama hii kitu ni kweli, afu na maelekezo mazuri niende.

Snaptik.app_73985435569541317172.jpg
Snaptik.app_73985435569541317173.jpg
Snaptik.app_73985435569541317174.jpg
Snaptik.app_73985435569541317175.jpg
Snaptik.app_73985435569541317176.jpg
Snaptik.app_73985435569541317177.jpg
Snaptik.app_73985435569541317178.jpg
Snaptik.app_73985435569541317179.jpg
Snaptik.app_739854355695413171710.jpg
Snaptik.app_739854355695413171711.jpg
 
Huo utajiri wa uchawi wa funza una version 2
1. Funza wanatoka kwenye mwili wako kisha wanageuka hela

2. Funza wanatoka mwilini mwako kisha wanakusanywa wanachanganywa na madawa yanakuwa majimaji au ungaunga unaweka kwenye eneo la biashara, wengine wanapaka, wengine wanakunywa, biashara hiyo inapata wateja wengi sana.

NB: kuna version nyingine wanasema dawa inatiwa kwenye mqundu kupitia bomba kubwa size ya chupa yenye dawa inazamishwa mqunduni kwa ndani kama siku 7 mpaka 21 mwako kisha unaanza kutoa funza mqunduni mwako unawaharisha.

Hizo story nilizisikia zamani kwenye kipindi cha RFA chenye story za kutisha.
 
Doh! Safari bado ndef
 
Unapata utajiri lakini hurusiwi kuwa na mwanamke,huli vizuri labda ukoko kwa mama ntilie,huvai vizuri,unaweza kuwa na jumba kali lakini unalala chooni.
Sasa utajiri kama huo wa kazi gani?
 
Unapata utajiri lakini hurusiwi kuwa na mwanamke,huli vizuri labda ukoko kwa mama ntilie,huvai vizuri,unaweza kuwa na jumba kali lakini unalala chooni.
Sasa utajiri kama huo wa kazi gani?
Kweli hauna maana.. ila huu sijaona masharti magumu.
 
Back
Top Bottom