Amani iwe nanyi.
Katika pita pita zangu huko TikTok, nikaona "anonymous member" mmoja anaelezea utajiri wake ambao kwa sasa hana amani nao na hautaki tena.
Binafsi (sijui ni njaa) sijaona kama ni mbaya, au sijaona mateso hapo. Naona ni kama tuu kazichoka pesa, amezimiss shida.
Ok, wenyeji wa Tunduma huko mnijuze kama hii kitu ni kweli, afu na maelekezo mazuri niende.