Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Unampandisha daraja gani? Pale airport unampitisha mlango gani? Kwangu TATIANA nampandisha ndege business class na pale airport tunapitia VIP upo hapo?

Treat me like a queen lusungo mambo ya kupekuliwa pekuliwa airport no noooo.... VIP tu....
 
Last edited by a moderator:
Magari sio utajiri. Aonyeshe income statements pamoja na mali zake sizizohamishika tujue net worth. Pesa haijifichi na hakuna pesa isiyo na chanzo.
 
Nikisema utajir yaan ki bongo movie ndo anawakimbiza na sio kwa Tz mkuu, jaribu kuelewa maana Irene hata kwa jide aingii ndan achilia mbali mwanvita makamba

Don't treat these things so serious utaumia , just take it easy as its
 
Last edited by a moderator:
Nikisema utajir yaan ki bongo movie ndo anawakimbiza na sio kwa Tz mkuu, jaribu kuelewa maana Irene hata kwa jide aingii ndan achilia mbali mwanvita makamba

Don't treat these things so serious utaumia , just take it easy as its

Punguza jazba,ni mpuuzi tuu anaeweza chukulia mambo ya jf serious. Mantiki yangu ni kwamba kutumia kigezo cha magari wanayoyasema au kuonekana nayo bongo star wa kike sio kigezo sahihi cha kupima utajiri wao. Sasa kuumia kwangu na seriousness vipo wapi hapo.
 
Tulia kwanza , nadhan nimeshakujibu na umenielwa mkuu , siasa Mimi siziwez naona ndio fani yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom