Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Utajiri wa Irene Uwoya ni balaa

Shouger basi tu ndugu tulikuwa busy na maonesho ya kijeshi kwenye muungano. hivi leo ndio tumemalizia kurudisha vifaa tulivyoazima na kulipwa ujira wetu

Pole kwa kazi na hongera shoga. Its good kukuona tena hapa
 
Mmhhhhh nyumbaa wapiii hayo magarii yenyewe ya kupewaa tu mbona hawahongwii nyumbaaa!!!!!!!!halaf utajiri wa hawa ni wa msimu tu ikiwa kiangazi wanafuliaa kwenye masikaa wanakua matajirii duuuu
Hahaha
 
Dah RIP Warumi hadi sasa pengo lako halijapata wa kuliziba hapa jukwaani
 
Back
Top Bottom