Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Ndio nn kupotea hivi? Au ubize?
Shouger basi tu ndugu tulikuwa busy na maonesho ya kijeshi kwenye muungano. hivi leo ndio tumemalizia kurudisha vifaa tulivyoazima na kulipwa ujira wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nn kupotea hivi? Au ubize?
Shouger basi tu ndugu tulikuwa busy na maonesho ya kijeshi kwenye muungano. hivi leo ndio tumemalizia kurudisha vifaa tulivyoazima na kulipwa ujira wetu
We Angalia usije chelewa kunyakuliwa siku ya mwisho... ubuyu umemwagwaaa loong time ago... warumi leta ubuyu mwingine dear Heaven on Earth afaidi ukiwa wa moootooo
HahahaMmhhhhh nyumbaa wapiii hayo magarii yenyewe ya kupewaa tu mbona hawahongwii nyumbaaa!!!!!!!!halaf utajiri wa hawa ni wa msimu tu ikiwa kiangazi wanafuliaa kwenye masikaa wanakua matajirii duuuu