TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Eti eeh?? Inabidi na Dalali pia aonje kwanza mitandao yote kabla ya kumpa boss maana boss asije kulaumu nimempa kimeo nkapoteza ajira yangu ya kudumu, upo Tayar?
Ukionja lazima unase maana utanogewa halafu itakuwa mwisho wa biashara