DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe ni jinga kweli ,anapambania maisha kwa kuumiza wengine? Hakuna mtu anae pambania maisha kwa kuumiza wengine halafu tumuite mtafutaji, huyo ni muuajina mwizi
 
Kwa rushwa ya barabarani, huwezi ukawa na mali zote hizo. Yawezekana ni mtafutaji kwa njia nyingine, urithi au uporaji, lakini sio rushwa
 
Kwa rushwa ya barabarani, huwezi ukawa na mali zote hizo. Yawezekana ni mtafutaji kwa njia nyingine, urithi au uporaji, lakini sio rushwa
Huzijui rushwa za barabarani,sababu unatoa elfu tano bac akili yako inazania watu wote ndo rushwa wanazotoa.Kuna watu wanabeba mizigo ya magendo,kuna watu wana mizigo isiyo na docs zozote,kuna wanaobeba nyara za serikali.we unadhani traffic wa highway akikamata gari anaangalia leseni na sticker ya nenda
 
Wewe ni jinga kweli ,anapambania maisha kwa kuumiza wengine? Hakuna mtu anae pambania maisha kwa kuumiza wengine halafu tumuite mtafutaji, huyo ni muuajina mwizi
Kwahyo wanaoiba fedha za umma hawaumiz wengine??? Mabilion ya shilingi
 
Una hoja, usikilizwe
 
Hiyo njia kuna deal nyingi sana

Kuanzia wami kuelekea huko ni balaa

Kuna vijiji fulani 97% wanaishi wezi tupu, watu wa magendo na hapo kuna mazagazaga yote kuanzia mataili,betri za magari,magodoro sukari nk

Ova
 
Kwa hiyo hayo magendo yawe yanaangukia mikononi mwa Koplo huyo tu? Na kama yanakamatwa na wengi na kutolewa rushwa kubwa kiasi hicho, huyo mwenye mzigo angekuwa analazimika kutoa rushwa jumla kiasi gani kuanzia Dar mpaka tuseme Tunduma, Namanga, Kasumulu au Rusumo?
 
Tafuta hela dogo maisha ni mafupi. Cha msingi asiwe kazipata kwa kuua mtu.

Wewe unazungumzia huyo na kusahau mafisadi papa nani atawachunguza? Unajua mali wanazomiliki nje ya nchi? Ukipata fursa itumie becouse 1 day you will leave this world behind.
Ushauri mwingine bwana, ni kama shetani anamshauri Adam atende maovu kwa kuwa maisha ni mafupi.
Je umewahi kujiuliza kuwa hizo mali za wizi/utapeli nk zitamsaidia nini, kesho yake kaburini/siku ya malipo?
Na hiyo siku ya mwisho hakutakuwa na janja janja...Mungu atatoa haki kwa walio dhulumiwa/tapeliwa nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…