DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Toyota Prado na Foresta ni utajiri kwa Koplo mwenye miaka zaidi ya 16 kazini huo ni uzembe kabisa alitakiwa kuwa zaidi ya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…