Utajiri wa kutisha uliopo kwenye biashara ya jezi

Utajiri wa kutisha uliopo kwenye biashara ya jezi

Huu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa wakati mmoja:

1. Faida kwa Kila Jezi Moja
  • Bei ya kuuza (Wavaaji): TSh 30,009
  • Bei ya kununua (Jumla): TSh 10,000
  • Faida kwa kila jezi: TSh 20,009

2. Jumla ya Faida kwa Watu Milioni 10
Ukiwa na soko la uhakika la wateja milioni 10 wanaonunua jezi hiyo, hesabu inakuwa hivi:
\(\text{TSh\ }20,009\times 10,000,000\text{\ (Watu)}\)
  • Jumla Kuu ya Faida: TSh 200,090,000,000 (Hizo ni Bilioni mia mbili na milioni tisini za Kitanzania)!

Kumbe yule "jamaa" anayesema jezi ni mbaya -anaharibu bilioni za watu?
 
Huu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa wakati mmoja:

1. Faida kwa Kila Jezi Moja
  • Bei ya kuuza (Wavaaji): TSh 30,009
  • Bei ya kununua (Jumla): TSh 10,000
  • Faida kwa kila jezi: TSh 20,009

2. Jumla ya Faida kwa Watu Milioni 10
Ukiwa na soko la uhakika la wateja milioni 10 wanaonunua jezi hiyo, hesabu inakuwa hivi:
\(\text{TSh\ }20,009\times 10,000,000\text{\ (Watu)}\)
  • Jumla Kuu ya Faida: TSh 200,090,000,000 (Hizo ni Bilioni mia mbili na milioni tisini za Kitanzania)!

makonda ndio maana anataka aingie kwenye gawiwo
 
Ukipata soko zuri na la uhakika hizi bidhaa ndogo ndogo utapata Sana pesa na usipokuwa makini unachanganyikiwa coz ni B's ndo zitasoma...Cha muhimu ni soko la uhakika, hata Kwa Faida ya 5000 Kwa Kila moja bado ni pesa nyingi Sana ukiwa na mamilioni ya wateja, cha muhimu wewe ndio miongoni mwa suppliers wakuu au supplier mkuu wa bidhaa...Bidhaa za Mia Mia, Mia mbili na Mia Tano ndizo zinazowapa Utajiri watu kama kina Bakhresa, MO na Industrialist wengine. Kimsingi Tanzania ukipata Chaka la kupata pesa basi utapata Sana in expense ya wajinga wengi coz peoples hazijali ubora na hawajui na mamlaka hazijali Sana so unafyatua Tu Kwa bei nzuri unakuja kuuza Tambara lako Safi, Ukifanya PR na wadau kadhaa muhimu basi mambo murua.
Countrywide umeona kile nilichokwambia?

Endelea kukomaa na business quality za bei kubwa ili upate faida kubwa huku mzunguko unakua mdogo…!!

Huyu mdau kaongea kitu kila siku ninachokuelekeza..!!

Siku utanikuta na Jetour ubaki unashangaa 😹
 
Mzee baba imagination ya jezi 10mil, ni sawasawa na kwamba watu wote wa Dar es Salaam wakubwa kwa watoto wawe wamenunua jezi, i don't think so...

Bei yenyewe ya jezi tu ni gharama kwa Watanzania wa kawaida...

Na hulka ya watu wengi, huwa wananunua jezi 1, then mtu anaivaa hata miaka 3 kabla hajanunua toleo jingine haswa za Taifa Stars...
Usipige hesabu za Dar piga za Tanzania nzima watu million 65+
Jezi zimewapa watu maisha
 
Bro jezi zinauzika bongo.. Watu wasingepambana kupata tenda
Zinauzika sana, broh angu aliwahi nunua pisi 100 tena fake hizi Dar hapo team mchanganyiko, kwa bei ya 7k, kaenda Kijijini kwetu kauza kwa 20k, alibaluza hela.

Tena sahivi jezi zina soko sio kwa me wala ke, imekua mbadala wa tisheti.
 
Og zinauzwa mpaka 45,000
 
Hao watu milion 10 wakununua jezi tanzania watatoka wapi? Nisawa na useme nusu ya nguvu kazi Tanzania inumue jezi kitu ambacho hakiwezekani. Watu walio katika umri wa kujitegemea Tanzania ni milion 25 ( miaka 18-65) kwenye hiyo milion 25 toa hapo wanawake milion 10 ambao hawapo intersested sana na mpira sasa hao watanzania milion 15 wanaweza kununua jezi watanzania milion 10? Kijana kwa taarifa yako mauzo ya jezi simba Yanga haizidi milion mbili
 
Uzuri wa jezi za taifa unaweza ukavalisha watumishi wa umma nchi nzima alafu ukawakata juu kwa juu gharama zake, yaani wapende wasipende lazima wakatwe na wapatiwe jezi na wanapaswa kuisapoti timu ya taifa pale inapocheza🇹🇿😄😄😄...hao wengine hutahangaika nao
 
😂😂😂
 
Back
Top Bottom