ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,483
- 15,441
Kwenye hili tunguri zimekuingiza chaka.Hiyo pesa sio yao ni ya mzabuni
Kwenye hili tunguri zimekuingiza chaka.Hiyo pesa sio yao ni ya mzabuni
Hata kwa Simba na Yanga combine hawawezi kuuza zaidi ya piece 1.5 MilionZa kufyatua zile za buku 5,7 sio hizo za 35,000. Tena sio kwa idadi hio uliosema. Labda simba na yanga.
😂😂😂😂Nashangaaga jezi inavotoka 35k, hafu itafika siku utasikia offa, elfu 10, Tena OG.
Tuache na nyie si mvae😎Bukta/boksa za wasukuma ni jezi zile wanapitisha waha barabarani, ila wasukuma 😬🤪
Nipo kasulu hapa ndani nna pensi la galatasaryWaache ndugu zetu
Hebu nitumie picha nilione yananidatisha hayo makitu acha tu!Nipo kasulu hapa ndani nna pensi la galatasary
Hapa sio mahala pakeHebu nitumie picha nilione yananidatisha hayo makitu acha tu!
Nitumie kule selfika ba mkali 😎Hapa sio mahala pake
Abnormal profit in CoSuper Profit.
Njia haIfiki hao washabiki wenyewe wa hizi team sio wengi, na hao wachache hawanunui jeziMillion mbali sana kwa mwaka hakuna timu ya kibongo inayouza jezi 500k.
Umeiweka vizuriKwa hesabu zako Simba wakiuza Jezi 5M kwa bei ya 30,000Tshs ni sawa na 150,000,000,000. Kama Simba ingekuwa na uwezo wa kupata bilioni 150 kwa mauzo jezi wasingehangaika na ahadi ya bilioni 20 za MO.
Utanikuta kwenye ngalawaNitumie kule selfika ba mkali 😎