Kumbe yule "jamaa" anayesema jezi ni mbaya -anaharibu bilioni za watu?Huu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa wakati mmoja:
1. Faida kwa Kila Jezi Moja
- Bei ya kuuza (Wavaaji): TSh 30,009
- Bei ya kununua (Jumla): TSh 10,000
- Faida kwa kila jezi: TSh 20,009
2. Jumla ya Faida kwa Watu Milioni 10
Ukiwa na soko la uhakika la wateja milioni 10 wanaonunua jezi hiyo, hesabu inakuwa hivi:
\(\text{TSh\ }20,009\times 10,000,000\text{\ (Watu)}\)
- Jumla Kuu ya Faida: TSh 200,090,000,000 (Hizo ni Bilioni mia mbili na milioni tisini za Kitanzania)!
makonda ndio maana anataka aingie kwenye gawiwoHuu ndio utajiri wa kutisha na wa kweli uliopo kwenye biashara ya jezi za mpira kwa sasa! Tukipiga hesabu za haraka kwa kutumia takwimu rahisi, hizi hapa ndizo namba zinazouma na kufurahisha kwa wakati mmoja:
1. Faida kwa Kila Jezi Moja
- Bei ya kuuza (Wavaaji): TSh 30,009
- Bei ya kununua (Jumla): TSh 10,000
- Faida kwa kila jezi: TSh 20,009
2. Jumla ya Faida kwa Watu Milioni 10
Ukiwa na soko la uhakika la wateja milioni 10 wanaonunua jezi hiyo, hesabu inakuwa hivi:
\(\text{TSh\ }20,009\times 10,000,000\text{\ (Watu)}\)
- Jumla Kuu ya Faida: TSh 200,090,000,000 (Hizo ni Bilioni mia mbili na milioni tisini za Kitanzania)!
Real Madrid na Barcelona.Sio jezi za timu zote zina faida kubwa kuna zile top clubs kama man city,man u ,aseno, Chelsea,simba,yanga ,Azam
Mkuu; hata hiyo jezi 1M faida ni 2B sio haba.TZ hii wauze jez 5M , hii sio realiastic kbisa, Yani Ukienda nyingi ni 1M Tu unless tupate data
Gharama ya promo na usambazi umeinua na Kodi juuMkuu; hata hiyo jezi 1M faida ni 2B sio haba.
Countrywide umeona kile nilichokwambia?Ukipata soko zuri na la uhakika hizi bidhaa ndogo ndogo utapata Sana pesa na usipokuwa makini unachanganyikiwa coz ni B's ndo zitasoma...Cha muhimu ni soko la uhakika, hata Kwa Faida ya 5000 Kwa Kila moja bado ni pesa nyingi Sana ukiwa na mamilioni ya wateja, cha muhimu wewe ndio miongoni mwa suppliers wakuu au supplier mkuu wa bidhaa...Bidhaa za Mia Mia, Mia mbili na Mia Tano ndizo zinazowapa Utajiri watu kama kina Bakhresa, MO na Industrialist wengine. Kimsingi Tanzania ukipata Chaka la kupata pesa basi utapata Sana in expense ya wajinga wengi coz peoples hazijali ubora na hawajui na mamlaka hazijali Sana so unafyatua Tu Kwa bei nzuri unakuja kuuza Tambara lako Safi, Ukifanya PR na wadau kadhaa muhimu basi mambo murua.
Usipige hesabu za Dar piga za Tanzania nzima watu million 65+Mzee baba imagination ya jezi 10mil, ni sawasawa na kwamba watu wote wa Dar es Salaam wakubwa kwa watoto wawe wamenunua jezi, i don't think so...
Bei yenyewe ya jezi tu ni gharama kwa Watanzania wa kawaida...
Na hulka ya watu wengi, huwa wananunua jezi 1, then mtu anaivaa hata miaka 3 kabla hajanunua toleo jingine haswa za Taifa Stars...
Zinauzika sana, broh angu aliwahi nunua pisi 100 tena fake hizi Dar hapo team mchanganyiko, kwa bei ya 7k, kaenda Kijijini kwetu kauza kwa 20k, alibaluza hela.Bro jezi zinauzika bongo.. Watu wasingepambana kupata tenda
Kama vijijini kule wanazipenda kweli na yale mapensi kwao ndo boksaZinauzika sana, broh angu aliwahi nunua pisi 100 tena fake hizi Dar hapo team mchanganyiko, kwa bei ya 7k, kaenda Kijijini kwetu kauza kwa 20k, alibaluza hela.
Tena sahivi jezi zina soko sio kwa me wala ke, imekua mbadala wa tisheti.
Og zinauzwa mpaka 45,000Zinauzika sana, broh angu aliwahi nunua pisi 100 tena fake hizi Dar hapo team mchanganyiko, kwa bei ya 7k, kaenda Kijijini kwetu kauza kwa 20k, alibaluza hela.
Tena sahivi jezi zina soko sio kwa me wala ke, imekua mbadala wa tisheti.
Haiwezi kuzidi 25% ambayo ni 0.25 x 2B =50m. (milioni 50). Net Take home ni 1.5B Bado hiyo sio haba mkuu.Gharama ya promo na usambazi umeinua na Kodi juu
Haswaa, bukta za jezi vijijini ndio zina soko, ndio boxer za vijana.Kama vijijini kule wanazipenda kweli na yale mapensi kwao ndo boksa
Tanganyika ni ngumu kupata data halisi kwakuwa watu wana under declare...LAKINI SIKU MKIJUA JAMAA WANAPIGA BEI GANI KWENYE JEZI MTALIA SANATZ hii wauze jez 5M , hii sio realiastic kbisa, Yani Ukienda nyingi ni 1M Tu unless tupate data
OG kijijini huuzi, hiyo bei imechangamka sana, kule peleka fake uza kwa 20 had 25, ooh hapo unawabaluza.Og zinauzwa mpaka 45,000
πππUzuri wa jezi za taifa unaweza ukavalisha watumishi wa umma nchi nzima alafu ukawakata juu kwa juu gharama zake, yaani wapende wasipende lazima wakatwe na wapatiwe jezi na wanapaswa kuisapoti timu ya taifa pale inapochezaπΉπΏπππ...hao wengine hutahangaika nao
Yote hiyo?OG kijijini huuzi, hiyo bei imechangamka sana, kule peleka fake uza kwa 20 had 25, ooh hapo unawabaluza.