Utajiri wa kutisha uliopo kwenye biashara ya jezi

Iwe iwavyo; kwa vyovyote vile hao milioni mbili sio haba. Milioni mbili x 20,000/=
ni Bilioni 4. (au ni 40??) ( I stand to be corrected) Je, hiyo ni ndogo aisee?
 
Jamaa ana maindi maana jezi alotaka yeye imekataliwa lakini ma boss zake wao wanakampuni yao imeingiza mzigo jamaa kajikuta hana hata mia huko mdo maana anaipiga vita
 
Kwa hapa bongo hio estimation is useless
Katinya watu million 60 wanaonumua jezi hawafiki hata laki 2 na hao laki mbili kunawanaonunua jezi feki wenye jezi og hawavuki elf 50 mengine ni feki
 
Wajinga ndio wali wao safi sana
 
Kwa hesabu zako Simba wakiuza Jezi 5M kwa bei ya 30,000Tshs ni sawa na 150,000,000,000. Kama Simba ingekuwa na uwezo wa kupata bilioni 150 kwa mauzo jezi wasingehangaika na ahadi ya bilioni 20 za MO.
Hiyo pesa sio yao ni ya mzabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…