Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaambiwa huna upako.
Gwajima ndio bingwa wa kusafirisha sembe kupitia maiti na anavijana ambao kazi yao ni kumdanganya mtu kwa kinywaji na kinakuwa tayari na sumu tayari kwa kuuwa na dr wake yupo tayari kuchana na kushona izo maiti, na huyo dr anatoa mpaka death certificate kitu ambacho huwezi kupata kienyeji, nitamtafuta jamaa alieponea chupuchupu kwenye mkasa huu, angalizo wale wote wanaopotelewa na ndugu gafla bila kuona maiti au tahatifa yoyote mpaka wamekata tamaa wajue kuna hili, mungu atuepushe na balaa hili kweli tajiri kuona ufalme wa mbinga ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. , NB:nawasihi wale wote wapenda ofa na bia za bure ndio wanapatwa kirahisi sana na huyu jamaa.
Upako wa kumiliki utajiri?
Hizi nyingine si dini,ni biashara.Ukimtumikia Mungu wa kweli hauwezi kufa njaa. Na hayo ndio matunda ya utumishi.. Hongera Gwajima
Mabasi spesho oda ni hayo pichani au????!!!!!
Kwa hiyo 192M ndio chanzo kikuu cha mapato???!!!!!! Angefilisika siku nyingiiiiiii
Hebu tuchukue 192m tugawanye kwa siku za mwaka 365!!!!
Halafu hiyo pesa tuweke mafuta hayo mabasi 20,road licence,bima na routine service!!!!!!
Achilia umeme na mengineyo,ujenge na ghorofa nne ya makazi,gari ya kutembelea 250m, uwanunulie na wachungaji magari 30!!!!!!
Kweli mungu anamtendea miujiza!!!!
Hebu afunguke zaid kama kaamua kuanika ili wachungaji wadogo wadogo na masikini nao wafuate nyayo.
Gwajima ndio bingwa wa kusafirisha sembe kupitia maiti na anavijana ambao kazi yao ni kumdanganya mtu kwa kinywaji na kinakuwa tayari na sumu tayari kwa kuuwa na dr wake yupo tayari kuchana na kushona izo maiti, na huyo dr anatoa mpaka death certificate kitu ambacho huwezi kupata kienyeji, nitamtafuta jamaa alieponea chupuchupu kwenye mkasa huu, angalizo wale wote wanaopotelewa na ndugu gafla bila kuona maiti au tahatifa yoyote mpaka wamekata tamaa wajue kuna hili, mungu atuepushe na balaa hili kweli tajiri kuona ufalme wa mbinga ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano. , NB:nawasihi wale wote wapenda ofa na bia za bure ndio wanapatwa kirahisi sana na huyu jamaa.
Chanzo KIKUU cha mapato ni Yesu Kristo wa Nazareth... Hiyo safari ya ulaya si chanzo kikuu Mkuu. Hiyo ni moja ya safari anazofanya kwa mwaka. Mambo ya ngoswe yabakie kuwa ya ngoswe na ya Mungu yabakie hivyo hivyo.
Katoa ushirikiano wa haki ya juu na hayo kayasema yeye!!!!!
Na hakusema juu ya safari nyingine sababu sio significant au muongo!!!!!!
Unapoongelea utajiri halafu husemi chanzo kikuuu unakuwa unamaanisha nini!!!!!
By the way wewe na yeye nani reliable zaid????!!!
Save your energy son of God
Hnela za majini hizo