Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

Akiwapa mfano ya jinsi ilivo rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni"
 
hongera Gwajima! ni mchungaji ambaye amejiweka wazi kwa waandishi wa habari! wengine wanaficha sijui kwa nini!
 

Kwahiyo anatupiga changa la macho kwa kigezo cha uchungaji..ama nini..?
 
Sembe haihusiki hapo??!! Just curious...............................
 

Chanzo KIKUU cha mapato ni Yesu Kristo wa Nazareth... Hiyo safari ya ulaya si chanzo kikuu Mkuu. Hiyo ni moja ya safari anazofanya kwa mwaka. Mambo ya ngoswe yabakie kuwa ya ngoswe na ya Mungu yabakie hivyo hivyo.
 
Kazi nzuri sana hii inalipa aisee ngoja ntajaribu
 

Povu la Shetani utalijua. Sijui ni kamasi gani uliloandika hapo. Shame on you!!! Bora ukae kimya kuliko kuandika mineno miiingi kumbe pumba tupu!!
 
Chanzo KIKUU cha mapato ni Yesu Kristo wa Nazareth... Hiyo safari ya ulaya si chanzo kikuu Mkuu. Hiyo ni moja ya safari anazofanya kwa mwaka. Mambo ya ngoswe yabakie kuwa ya ngoswe na ya Mungu yabakie hivyo hivyo.

Katoa ushirikiano wa haki ya juu na hayo kayasema yeye!!!!!
Na hakusema juu ya safari nyingine sababu sio significant au muongo!!!!!!
Unapoongelea utajiri halafu husemi chanzo kikuuu unakuwa unamaanisha nini!!!!!

By the way wewe na yeye nani reliable zaid????!!!

Save your energy son of God
 

Save yours too!!! Amen!
 
Vingozi wa madhehebu kama catholic wao ndo hivyo tena,wanawaona wenzao wa kilokole haoo wanapaa juu.punde tutasikia jamaa anamiliki private jet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…