Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

Hata kama ni muumini wake ukweli tunaujua ukitetea haitakusaidia bado utakuwa unaamini mashetani tu.
Povu la Shetani utalijua. Sijui ni kamasi gani uliloandika hapo. Shame on you!!! Bora ukae kimya kuliko kuandika mineno miiingi kumbe pumba tupu!!
 
Kuna uozo mkubwa sana kwenye haya makanisa uchwara ndugu yangu we acha tu natamani niongee mengi lkn ban itanikuta hapa au uzi utafungwa ni noma sana haya mambo dunia imekuwa ya ajabu sana kwa kutaka utajiri tu na tunasahau maisha baada ya kifo.
Kwahiyo anatupiga changa la macho kwa kigezo cha uchungaji..ama nini..?
 
Daaah majanga haya...
Wajinga ndio waliwao
 
Kuna uozo mkubwa sana kwenye haya makanisa uchwara ndugu yangu we acha tu natamani niongee mengi lkn ban itanikuta hapa au uzi utafungwa ni noma sana haya mambo dunia imekuwa ya ajabu sana kwa kutaka utajiri tu na tunasahau maisha baada ya kifo.

Ongea bana.......mie kuna mmoja nilimsikia nae ishu zake hatare.......lakin kajivika mwamvuli wa unabii
 
Wacha wafu wazike wafu wao.....Kanisa langu tunakaribia kuzindua Shule ya Sekondari na Hospitali kwa sadaka za waumini.....Wengine sadaka za Wsumini wanashindania magari ya kifahari..

Kama sio Mkatoliki, basi wewe Mlutheri.
 
Wale wa dini zetu za kazamani msitetereke jamani vinginevyo mtageuzwa watumwa wa kutoa na kurudishiwa mapepo kila kukicha

...lakini siku yenyewe itabidi hivyo vyote wakubali kuviacha ama kuvigawa bure kwani utajiri wao kamwe hautawasaidia kuiona pepo.
 
Mungu tusaidie.
Magari 30 ya wachungaji...lets assume gari moja ni 8M-8M X 30 = 24M
Mabasi 20 lets assume moja ni 50M kwa sababu ni ya kuunda hapahapa kama picha zinavyoelezea. 50M X 20 =Bilioni 1.
Pia anasema analipwa 2000USD per day kukaa kwa siku 60 kufundisha...that is 120,000USD kwa exchange rate ya 1600 ni sawa na 19,200,000.Hata haifiki bei ya basi moja...ni kweli nabii hakubaliki kwao,lakini we have to reason hizi sources kama zinaingia akilini na utajiri alio nao(keeping aside udaku wa magazeti).

Imani is very complex aisee!!! Eeh Mungu tusaidie!!!
 
Ni vizuri kuwasaidia watz wasitapeliwe kama kweli upo.
Let's shane the devil
 
Vingozi wa madhehebu kama catholic wao ndo hivyo tena,wanawaona wenzao wa kilokole haoo wanapaa juu.punde tutasikia jamaa anamiliki private jet.

Unnawazimu wewe...Tafadhali sana naomba usilihusishe kanisa Takatifu na hao matapeli....Huwezi shindana na Kanisa Katoliki kamwe ni level ingine.....Kanisa siyo mali ya mtu binafsi ni taasisi na waumini wanaliongoza kanisa....Padre hana mamlaka na mapato na matumizi ya sadaka bali ni weaumini...

WAumini ndo wanamchagulia gari la kutolea huduma ya kiroho, pia waumini ndo wanao mjengea kanisa Padre.....Hao hao waumini wa Makanisa kanja njaa kucha kutwa wanaomba ili watoto wao wapate angalao nafasi kwenye shule za Kanisa Katoliki....Hili nimelishuhudia mm mwenyewe...

Kanisa lina amini muumini lazima akue kiroho na kimwili...Kukua kimwili ni pamoja na kupata elimu bora katika shule bora na walimu wa viwango vya juu...Ndo maana kanisa linashule nyingi sana...Je wajua thamani ya shule kama Marian au St Francis ya Mbeya...? ni zaidi ya huo utumbo wa huyo Tapeli Gwajima Period...
 
Piga hela piga hela kwa mgongo wa dini mpaka wa jitambue unaingia kwny forbes list ya wachungaji matajiri, go go go team evangelistis
 
Ukimtumikia Mungu wa kweli hauwezi kufa njaa. Na hayo ndio matunda ya utumishi.. Hongera Gwajima


Ningesikia kuwa sehemu ya fedha hizo kajenga kiniki, shule, madwati, nk ningemwelewa. Vinginevyo ni wale wale, wapenda anasa
 

Kanisa takatifu ndio kanisa gani??

Hayo mengine sio matakatifu??

Acha utumwa wa fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…