kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Umeambiwa ana waumini elfu 70 hata kama elfu 35 kila mtu akatoa laki moja tu kwa mwaka ambapo ni sawa na sh 2000 tu kwa wiki hiyo si ni zaidi ya bilioni tatu na nusu?haihitaji great thinker kujua hili!Mabasi spesho oda ni hayo pichani au????!!!!!
Kwa hiyo 192M ndio chanzo kikuu cha mapato???!!!!!! Angefilisika siku nyingiiiiiii
Hebu tuchukue 192m tugawanye kwa siku za mwaka 365!!!!
Halafu hiyo pesa tuweke mafuta hayo mabasi 20,road licence,bima na routine service!!!!!!
Achilia umeme na mengineyo,ujenge na ghorofa nne ya makazi,gari ya kutembelea 250m, uwanunulie na wachungaji magari 30!!!!!!
Kweli mungu anamtendea miujiza!!!!
Hebu afunguke zaid kama kaamua kuanika ili wachungaji wadogo wadogo na masikini nao wafuate nyayo.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums