Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante kwa kumbukumbu hii nzuri, ila wanawatia waumini wao umasikini kwa kuwakwangua kila walichonacho....
Wizi mtupu.
Ngoja nijibakie na ukatoliki wangu.
Ukatoliki? Aisee huku nako ndiko kulikooza kama nini!
Mkuu nowadays dini za sasa si kama zile za uzao wa yesu kristo!
Kama tukifanya financial interpretation ndani ya makanisa katoliki bila kuficha, basi kuna uozo mwingi sana unaofanyika!
Usikumbatie uovu!
ahsante kwa kumbukumbu hii nzuri, ila wanawatia waumini wao umasikini kwa kuwakwangua kila walichonacho....
Si ndo maana unakuta mchungaji ana mshahara mbuzi halafu anatembelea lexus ya milion 200!
Yeah, watch this. Hii ni mojawapo ya sababu kubwa kumwaga damu [/video]
Angalia namna bora ya kujipatia /video]
Ukatoliki? Aisee huku nako ndiko kulikooza kama nini!
Mkuu nowadays dini za sasa si kama zile za uzao wa yesu kristo!
Kama tukifanya financial interpretation ndani ya makanisa katoliki bila kuficha, basi kuna uozo mwingi sana unaofanyika!
Usikumbatie uovu!
Kwani ni kihusucho dini isiyo yako hutounga mkono?Kwa akili yako unadhani kuwafanye wengine waonekane wabaya kuifanya dini ya kivita kuwa nzuri.
Ahh sasa mbona unanishambulia bila kosa?
Kwani mimi kukuita uone hoja za watu wengine imekuwa kosa?
We toa hoja mi sijasema lolote litakalofanya dini yako ionekana mbaya ni hizi mbege zako tu zinakutia wasiwasi!
Teh teh teh
Wizi mtupu.
Ngoja nijibakie na ukatoliki wangu.
Wizi mtupu.
Ngoja nijibakie na ukatoliki wangu.
ulitegemea watu wawe malaika?sasa kungekuwa n ahaja gani ya kupambana ili kuupata ufalme wa Mungu?Hakuna dini duniani haijawahi kumbwa na matatizo ya kimaadili ya kutosha.
Bado watu wataokolewa kwa mengi ila Grace pia itaamua huo ukombozi sana.