Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1


huna akilia wewe huwezi iba kitu ulichonacho..una fuja.Sasa utasema mlinzi kajiibia mali alizopaswa linda..au kachukua.Mwizi anahitaji tricks,kujificha na mengine yanayomsaidi kuhamisha mzigo bila mwenyewe kung`amua.
 
Tajiri gani anatenbelea used car. Magari yote aliyonunua ni used na bei zake ziko wazi mtandaoni. Kaomba exemption. Si angelipa kodi ? Hiyo ni fedha ya kuvadili kitoweo tu.
 
huna akilia wewe huwezi iba kitu ulichonacho..una fuja.Sasa utasema mlinzi kajiibia mali alizopaswa linda..au kachukua.Mwizi anahitaji tricks,kujificha na mengine yanayomsaidi kuhamisha mzigo bila mwenyewe kung`amua.

Wewe mwenye akili unaoneka ni mwizi sana wa michango ya waparoko na waefeso!
Unajaribu kuupamba wizi kwa lugha tamu! Mbadhirifu mkubwa!

Nyie yesu akiwakamata! Atakata zote!
We subiri tu!
Mnfnssssssssss! Mkishumundu wahedi!
 
Wote wapumbavu humu mtoa mada had followrs,pesa inatafutwa nendeni mkalale
 

Mtetezi wa wizi na yeye lazima atakuwa mwizi!
Unajua we mparoko hicho kitambi chako nilidhani ni shibe ya halali!
Kumbe tumbo limejaa michango ya wanakondoo??

Siku ukikutana na yesu atakupiga ngumi ya tumbo mpaka ucheue hio michango yote!

Mbadhilifu mwanakondoo uliopotea kabisa!
 

Sasa km unalilia ufujaji uwe sawa na wizi unayo shida..
 
Sasa km unalilia ufujaji uwe sawa na wizi unayo shida..

Unajua wakati wa sherehe za krismas watu walipokwenda kula sikukuu makwao! Wizi ulipungua sana hapo Mjini!
Na ningekuwa mimi ni rais wa nchi. Ningefanya sherehe kila baada ya mwezi mmoja! Na ningeongeza kifungu kwenye biblia ya kibongo kinachosema hivyo!

Na wakija wale wakishumundu kuleta ligi nawaambia kuwa Na MIMI NIMEJIPA UNABII KAMA PAULO!
.teh teh teh teh!

Huenda watu wakapumzika na hawa vibaka wanaojidai WAMEFUJA!

Hawa ni wa kuwekwa ndani tu! Wakaolewe huko keko!
 
Ongeeni mkimaliza mkalale alafu msisahau kufunga mlango.
 
Kwa kili yako ndogo unadhani walikwenda Krismasi ndio wezi..na Si wezi kuhama viwanja kwa vile wenye mkwanja hawapo.Kumbe wezi wana akili kuliko wewe mwenye dini na mungu....?Ni ujinga tuu wewe ungekuwa mwizi tuu,na wala si ustaarabu wala maadili.

Tujuavyo kwa mvivu njaa haikosekani..sasa wezi wabaki na nyie wakifanya nini?
 

Mwizi wa sadaka ni mmbaya kuliko mwizi wa benki au jambazi.
Na wewe ni mmoja wa wala sadaka. Maana yake unatetea sana vibaka!

Hayo matumbo yenu iko siku yatapasuka yamwage mavi kwa kula vya HARAMU!
 
Mwizi wa sadaka ni mmbaya kuliko mwizi wa benki au jambazi.
Na wewe ni mmoja wa wala sadaka. Maana yake unatetea sana vibaka!

Hayo matumbo yenu iko siku yatapasuka yamwage mavi kwa kula vya HARAMU!
Huna kipya kapuro wewe...Umeanza kusema wakiondoka wachaga wizi unapungua kwa tafsiri yako ya fisi na nyumbu ukadhani wao ndio wanajiibia, au kuwaibia wavivu nyie....nilipoamsha akili yako iliyoganda km zege kuwa hata wezi huhama kwa vile waliobaki hawana cha kuwaibia au nao ni wezi ....umebadili unaanza tena sijui mwizi wa sadaka..sadaka ni zako..?hadi ukomae nazo kuwa zimeibwa?Unajua ni kiasi gani kinapatikana na kiemibiwa gani..?

Wavivu kwa kujopa kazi akujidanganya...nani kakuambiwa mtu anajiibia ..sadaka ni ya kuliwa na watu walio madhabahuni ili nao wamtumikie Mungu na watu wake.Sasa km wewe unaenda dai unayo kazi..utakuwa unadai hadi tambiko kwa mizimu, au ulichompa mganga.

ULITEGEMEA MUNGU AJE KUCHUKUA HELA DUNIANI AKAFANYIE NINI?HIZO hela watatumia binadamu walio madhabahuni, na kuendesha shughuli z anyumba ya ibada.Km imekuwa nyingi hadi kubaki sheria za hiyo nyumba zinatachukua mkondo..makanisa ya mwanzi yalikuwa aliksaidia mayatima,au kupokea wageni wanaotoka nchi ya mbali na kuweka makazi ktk nyumba za ibada.Siku hivi kuna matapeli,magaidi etc ambao ukiwapa tuu nafadi ya kula bure basi watamaliza siku chache hata kile cha watu wa nyumba ya ibada kukosa.
 

Walaaniwe WIZI WA SADAKA WOTE!

Na Mungu awaadhibu HAPA HAPA DUNIANI KABLA HAWAJAFA!
Waugue japo KIARUSI! AU Kaswende!.

Na vikiwakisa hivyo viwili basi Japo UKIMWI! AU Kuhara kusikokwisha.!

Tunaomba kwa jiiiiina la YHWH.

Amen
 
Bei gani? Kwani sadaka zinauzwa kwa bei fulani?

Hao ndio kina Nicholas!
Wanataja kutajirikia kwenye michango ya waumini.

Mi nasema Mwinzi wa michango Mungu amtoe jicho la kushoto. Na kama lilishatoka! Basi avunjike mguu wa kushoto! Ili atembee kama amekata centre bolt!
Au kama zile daladala za kwenda pugu!
 
Last edited by a moderator:

Uislam bila adui au kitu cha kusema vibaya hauwezi ishi..wakibaki wenyewe lazima ni vita tuu.ndio bila enemy wak uwasaidi kuplay victim ili mpate kumwaga damu zakutambika majinn..hakuna dini.

Ulimsikia Mwinyi na wengine ktk mawaidha ya Maulid?alisema muache kupindua misikiti(wanagombea sadaka-),halafu wakaongelea pia kuhusu kuwa na amani na wengine..pamoja na kujibaraguza kwote kuwa ni dini ya amani ila kulisem ahilo ni wazi wamekiri kuwa uislam ni shida.

Bila vita y akumwaga damu dini inaisha.Hembu nenda kahesabu sababu zote za waisla kupigana vita mbya km zina uzito au zina misingi ya maana.

Mohamed alipigana vita kwa ajili ya SHE camel....ngamia wa kike ..Sijui alikuw amchumba wake....?wenzako pia wana mashindano ya urembo ya ngamia na hawa wanafanya hivi.

 
wagombe amisikiti ambayo hata sadaka hazijai kibakuli wana taabu sana.Sijui wangekuwa waumini wa kwa jamaa km wasingekwenda dai sadaka?

Hujui ukishatoa hupaswi tena kuumwa roho...wajinga wengine ambao kila kukicha majinn huwapanda na kupewa damu ili yashuke..ila sijawahi wauliza kwanini damu hupewa bindamu na si hao majinn moja kwa moja... alitegemea hela za kanisa zisiguswe na binadamu...
 
Teh teh teeeeeh! Bwana wewe umenikumbusha Pugu shule yangu yenye green ponds! Enzi zile kulikuwa na KAMATA bus liendalo Kisarawe, otherwise UDA ziliishia Gongo la Mboto. Lakini tulizurura mpaka Pugu soko la mbuzi wakati wa kutafuta vyura wa kufanyia practical, halafu kwenda milima ya kisarawe kutafuta kuni za kupikia msosi kama twataka kula mwe! Mungu ibariki Pugu Sekondari yenye historia ya JKN na walimu kina Msungu na Nkulu na Moshi nk nk nk..... Kwata kwenda mbele form five na form one kupigishwa na form tu maafande ati kukaribishwa. Nimepita njia hiyo naona kwenye green ponds kuna majengo watu wanaishi!!!! Sikuona hata moja labda kwa sababu nilikuwa kwenye gari, Jengo la pump ya maji bado lipo lakini migomba mikawawa nyang'anyang'a, nadhani kilimo kwanza somo lake gumu pale.
 

We umeshaona mashehe wanaendesha hammer! Au wana mabasi 20 ya kubebea waumini!?
Wacha unafiki mtoto wa kiume!
Utakuja chumbiwa bure!

We unatetea wahalifu! Halafu hao wachungwaji wakiiba! We ulivyokuwa adui unaita "wamefuja:!

Weweee! Mfnssssssssss!

Hii mijizi ya sadaka iko siku tutakuamulieni tuje tukukamue kinyesi!
Kuku maji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…