Utajiri wa Magofu ya Rapta

Ndani ya nyumba hiyo aliyokua akiishi Catarina na Manuela mazingira yalikua mazuri ukilinganisha na zile nyumba tulizokua tunakaa sisi wengine. Japo hawakua na thamani za kutosha Lakini kimpangilio ilipendeza sana ikiwa na jiko na stores ambayo mzigo uliokua tayari kusafirishwa uliwekwa umo.

Tulifika mahari apo lakini kulikua na ukimya ambao bila Shaka kati wawili hao hakuna aliyejishughulisha na swala lolote lililohusu mapishi.

Kwa zile kelele na miguno ni dhahiri walikua kwenye dunia yao nyingine kabisa na kama mtu angefika hapo pasipo kujua kama waliokua ndani walikua na wadada watupu. Basi angedhani Ndani humo kulikua na kidume tena wale west Africans mandingo na binti kwa jinsi walivyokua waki shout kwa sterehe waliyokua wakipeana.

JAVIER: I'm seek of these mafackaz!!!!
( Nimechoshwa na hawa wajinga)
Hey ladies, we outside!!
( Javier aliongea vile ilikuwastua wajue kama tupo nje ili kama wanaweza waache upuuzi wao mara moja)

Sikuwahi kukutana wala kuona wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja hivyo nilitamani kuuliza wanafanyaje. Ila niliamini kumuuliza Javier swali hilo hakuna mantiki kwani nimemuuliza mambo mengi ambayo bado nasubiri majibu kutoka kwake, hivyo kuhusu swala lile la mapenzi kati ya Catarina na Manuela nililiweka kipolo.

Nje ya ile nyumba yao kulikua na shade (kibongobongo) ni vile vibanda vya msonge tulikaa hapo na kutulia kwa muda kisha tulimuona Catarina akitoka.

Catarina alionyesha ku mind sana na hapo nilijua kwanini siku ile alisema javier huwa anaendeshwa na njaa. Kumbe javier mara nyingi anawaaribia ratiba yao kwa sababu tu alikua akihitaji msosi kwa wakati.

Catarina alikuja na kamzigo bila shaka ndani yake kulikua na msosi, alifika na kuutupa ule msosi as if ana warushia mbwa chakula kile kisha bila kuongea na Yoyote aliondoka.

Baada ya muda alitoka Manuela akiwa na pensi ndogo sana mfano wa boxer na alikuja kukaa palepale tulipo sisi. Hakuna na chakula Chochote zaidi ya kinywaji kilichokua kwenye chupa ndogo ya kijani mfano wa chupa ya Serengeti light.

Bila shaka kilikua ni kilevi, kwa hakika level ya Manuela kwenye ulevi alikua ni chronic sana yaani alitamani muda wote awe yuko mafuta kichwani.

Ulevi wa kupindukia wa Manuela ulimfanya Javier atafakari sana kuhusu background yake. Javier aliamini kuna jambo kubwa sana nyuma ya ulevi wa Manuela.

Tukiwa tunapata chakula Manuela alikuja kwa namna Fulani romantic sana akanisogerea usoni kisha kwa kutumia sauti ndogo sana. Aliniambia usiku wa saa tano nimkute log stairs, eneo hili ni yale maeneo kwenye zile ngazi za magogo kupanda kuelekea ilipo ile maabara.

Manuela aliponisogelea karibu ilikua ni harufu ya pombe kali tu ndio iliyo tawala mwili wake, baada ya hapo aliondoka mapema ni wazi ali target muda ambao Catarina alikua bize kiasi kwamba asingeweza kujua kinachoendelea kule nje.

Wakati alipokua anaondoka Javier aliniangalia jicho moja la tahadhari ni kama vile ambavyo mama anamuangalia mtoto anaetazama soda ya mgeni.
Baada ya kuwa Manuela ametokomea ndani Javier aliongea kwa msisitizo na kwa umakini sana, " dogo tayari nimekuambia kila kitu hivyo sitarajii kuona unaingia kwenye mtego"

Kitendo alichokifanya Manuela kilinikasirisha sana kwani sikutaka Javier atambue kama nimeongea chochote na mwana dada huyo.

Baada ya kumaliza msosi ule ambao niliufurahia na kuuona wa kawaida tofauti na ule msosi niliopewa jana yake ambao ulinishinda. Hapo nilijua sasa kuwa kile chakula alicholeta Javier kilitokea kwa hawa mabinti.

Kwani mabinti hawa walikua independent kwenye kila kitu kuanzia utawala mpaka misosi nadhani hii Ilikua ni kwa sababu ya umuhimu na unyeti wa section yao ya kazi.

Tulirudi tena maabara ambapo Javier alifikia kulala huku akinionyesha majukumu mengine ya kuendelea nayo. Hapa ndipo nilipo prove kauli ya uvivu wa Javier ambayo iliongelewa na mwana dada Catarina.

Kufanya kazi eneo hilo ilikua ni zaidi ya kula bata ukilinganisha na namna wale jamaa wengine wanavyo chapika 24/7 (masaa 24 siku 7 za week). Nikiwa hapo sikuona kazi ngumu kabisa, kwani majukumu ya hapo yalizidiwa hata na zile duties za sengerema sekondari.

Hatukuchukua mda mrefu sikuhiyo, kabla ya jua kuzama tulikua tayari kwa kuondoka eneo hilo na kurudi camp kwa dhumuni la kupumzika.

Tukiwa njiani nilimuuliza Javier katika namna ya kumkumbusha anipe story fupi ya yule mzee wake ambaye anadai aliwahi kuishi East Africa.

Kwanza kabisa Javier alikanusha kwamba huyo aliyemtaja kama babu hakuwa babu yake wa damu. Isipokua kwa umri aliokua nao mzee yule alijikuta amejiwekea mazoea ya kumuita babu.

Hapa sasa Javier alinitajia jina ambalo halikua geni kwani nilikumbana nalo jana yake tu.

Kwa maelezo ya javier ni kwamba miaka karibia kumi (10) ilyopita akiwa yeye na rafiki ambae alimtaja kwa jina la Jamshid sharmahd wote wakiwa wana asili ya Iran.

Akiwa na rafiki ake huyo Waliwahi kufika ndani ya jiji moja huko ujerumani linalojulikana kama Düsseldorf na kilichowafikisha huko ni harakati za maisha. Hakuwa muwazi ni harakati gani na alionesha hakutaka kuulizwa chochote kuhusu harakati hizo.


Alipotaja lile jina la sharmahd nikakumbuka ile memo au messege niliyoikuta kwenye kitanda chake kwa usiku wa jana. Apo niligundua huyo sharmahd ndie mtu aliyeenda kukutana nae usiku wa jana.

Anaendelea Javier, wakiwa ndani ya jiji hilo la Düsseldorf waliwahi kukutana na veteran au mkongwe kwa jina rahisi.

Mkongwe huyu walimfahamu kwa jina moja tu na aliitwa Schulz, Schulz alikua ni veteran wa vita vya pili vya dunia akihudumu jeshi la ujerumani. Akiwa jeshini alikua na cheo cha kawaida sana alikua ni korporal tu kwa Wakati huo ( kama wanavyoita wajermani).

Bwana Schulz alishiriki vita nyingi mpaka kufikia mwaka 1943 September 9 ambapo Iran na ujerumani walipoingia kwenye mgogoro wa kivita na WA Nazi. Kabla ya mgogoro huu nchi ya Iran iliaminika kuwa neutral kabisa enzi zile za WWII ( vita ya pili).
Kabla story ya Schulz haijaisha tulikua tumeshafika nyumbani hivyo Nilijua tutaendelea lakini baada ya Javier kufungua Bible yake pale kitandani aliniaga tena.

Hapo Nilijua atakua ameenda kule alipoenda jana hivyo nilijisogeza tena kitandani kwake kuona kama kutakua messege yoyote au memo lakin haikuwepo.

Nadhani ile jana aliisahau kwa bahati mbaya inawezekana sio kawaida yake kuziacha memo hizo. Lakini pia inaonekana hawa watu wawili wana agenda ya siri ni inaonekana ni muhimu sana. Apo nilitamani kujua huyu sharmahd anapatikana wapi mashambani umo.

Kitu kilichonishangaza kingine ni namna ambavyo Javier huondoka kwa haraka pindi anapokuta memo yoyote kutoka kwa mtu huyo.

Kwakua sikuhiyo at least tulifanya kazi basi kauchovu kilikuwepo hivyo nikajilaza mapema ilinistuke baadae na kwenda kukutana na Manuela.

Nilitamani sana kujua binti huyo ana nini cha kuniambia lakini pia nilitamani kujua ni namna gani anaweza kunisaidia kutoka ndani umo. Apa nilijiambia sitakiwi kumzalau mtu anaweza kuwa na msaada hivyo sitakiwi kumpuuza kabisa.

Eneo lile la kambi muda wote lipo active lakini tatizo ni moja hakukua na taa zozote za nje hivyo kulikua na giza sana nyakati za usiku. Huwa kunakua na nafuu siku za mbalamwezi, na siku hizi ndizo hufurahiwa na wengi maeneo hayo.

Kulikua na ulinzi mkali sana lakini haikua rahisi kujua na hii ilisababishwa na kutokuwepo kwa mahusiano au muingiliano wa aina yoyote kati ya walinzi na wafanyakazi wa eneo hilo.
Kabla ya saa tano kama tulivyokubaliana na Manuela nilijiandaa kutoka mapema zaidi kwani bado nilikua mgeni maeneo hayo.

Kutokana na baridi kali la maeneo hayo nilichukua blanket kubwa nikajifunika kisha nikatoka ndani taratibu. Na kuanza safari ya kushusha bonde lile ambalo kwa chini ndio kuna maabara na ndio eneo alilonipa ahadi Manuela nikutane nae.

Kabla sijafikia eneo husika niliguswa mgongoni kwa namna kama nashituliwa na wakati nageuka nilimkuta Manuela ndie aliyekua ananistua.

MIMI: you scared me
( Umeniogopesha)

MANUELA: worry not
(Usijali)

Uongeaji wa Manuela wakati huu ulikua tofauti sana na jinsi ambavyo nilimuona akiongea siku mbili nyuma na ata mchana wake. Na ata yeye aligundua nimemuona yupo tofauti kimaongezi kwani wakati huu alikua active na makini sana.

MIMI: this is not the place we planned to meet
(Hii sio sehemu tuliyopanga kukutana)

MANUELA: I know but here it is safer
( Najua lakini hapa ni salama zaidi)

Swali la kwanza la Manuela aliuliza vipi Javier ulimuacha amelala kweli, na mimi bila kufikiria mara mbili nilimjibu kuwa Javier aliondoka mara tu tulipofika ndani.

Manuela alifurahia sana jibu kwa kumuangalia usoni, lakini aliongeza swali lingine ambalo ni, mara ngapi Javier amekua akitoka usiku tangu nifike hapo?
Bila kuwaza tena nilijibu siku zote ninakua hapo amekua akitoka usiku lakini alikua akirudi usiku huohuo isipokua siku ya kwanza ndio nilimuona asubuhi. Na hiyo ilitokana na usingizi mzito niliokua nao Uliosababishwa na safari yangu ndefu ya kufika hapo.

Wakati anauliza maswali yote hayo tulikua tumesimama pembeni mwa barabara iliyokua inaelekea kwenye ile maabara. Na baada ya kumjibu alinisogeza ndani kidogo kutoka barabara ilipo, na alinisogeza katika namna ambayo nilishindwa kujua amenivuta vipi.

Na safari hii alinivuta karibu yake zaidi yaani naweza kusema tulikua zero distance kabisa na apa huyu binti alikua akinukia tofauti na vile alivyokua mchana. Bila shaka nilitamani asiniachie kutokana na hali ya hewa ya ukanda ule hivyo nilitulia tuliiiiii.


Swali la pili la Manuela lilikua simple sana kwangu japo kwake alihisi sitoweza kumpa majibu.

"Anaendaga wapi usiku huo" wakati huu akiwa amenibana vizuri na baridi lile nilijibu tena comfortably anaendaga kuonana na rafiki anaitwa sharmahd.

Baada ya kutaja sharmahd aliniachia kwanza kwa kushangaa kidogo, na akauliza tena kama namjua sharmahd.

Hapo nilimjibu simjui ila nilibahatika kukuta memo kwenye moja ya vitu vyake na memo hiyo ilielekeza akakutane na mtu ambaye chini ya memo aliandika jina sharmahd.

Apa Manuela alinisifia kwa kusema " I'm too clever, clever than Gatkuoth " huku akiendelea kusema nahitaji kila aina ya zawadi nzuri kwenye hii dunia

Sikuelewa kwanini amenilinganisha na marehemu Gatkuoth, lakini kabla sijamuuliza chochote alikua ameshafika mdomoni anaendelea kunyonya mate.

Kwa haraka haraka aliondoka na kama lita mbili hivi kutoka mdomoni kwangu, kuna maeneo kwenye mwili wangu alipitisha mikono nikajiona kama nipo kwenye zero gravity zone.

Alichokua anakifanya Manuela ni zaidi ya wale porn star, kwani within a second mashine ilikua kwenye joto la mdomoni of course ilikua ni blowjob.

Ghafla alisimama na kutaja jina ambalo sijawaza kulisikia wakati huo.

MANUELA: Ludovic you are in safe hands
 
Kama kuna mtu anamjua mwalimu nguli wa history fanya kama una mtag aje apate madini kwenye episode zinazofata.

Bwana Schulz au jasusi m-Nazi wa enzi za Adolf Hitler ana nondo kali sana za history ya dunia ambayo huwezi kuisoma popote.

0623 32 95 12 WhatsApp
 
Ni hataree kajuaje unaitwa Ludovick wakati umefika kwa passport ya mchongo
 
Vizur
 
Mwalimu nguli tunayemjua ni Mohamed Said bila shaka naye atatia neno utakapoanza kutema madini ya history
 
 
Umemsaliti Javier mapema.Kumbe imani ya weupe juu ya waafrika ni kweli, yani siku ya pili tu tayari dushes ishasimama.Kwa nini hukuwa kama Yusufu, ukatae kubakwa au ndio mtu mweusi hajawahi shinda majaribu ya wanawake?
Pengine Manuela ndio kamsaidia kutoka huko, tuvute subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…