Utajiri wa Magofu ya Rapta

Kuniweka kwenye kundi la waandishi ni kuwakosea heshima waandish
Basi sikyweki kundi la waandishi, ila kama ulishawahi kuandika hadithi na ikakamilika yote hukupaswa kusema hilo. Waandishi wote huwa hawatamki hayo maana wanajua wanayopitia, siyo mmoja wao ndiyo maana ukasema hayo sikulaumu. Ila napenda nikwambie mimi ni mmoja wa waandishi na hizi zina changamoto kubwa sana kwenye kuziandaa, watu wanapata shida mno mpaka unakiona kisa kikiwa kamili hapo. Kama anataka kutoa kitabu, bado atapitia maudhi ya wahariri ambao anaweza kukurudisha zaidi ya mara tano ukaandike upya hadithi moja hiyohiyo.
 
Km inawezekana nipe link ya story zako nitiririke nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…