Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Manuela alikuja na msosi kwanza kabisa ni kwakua alijua sikua nimepata chochote wakati huo, hivyo aliamini kuna uwezekano mkubwa nikalala njaa. Wakati huu mgumu nilimshukuru sana kwani aligeuka kuwa mtu wa karibu zaidi kwangu.

Lakini pia kwa jinsi alivyotamka yale maneno ni kama alionekana kukua kwenye makuzi ya kiislamu toka akiwa mdogo. Sasa hapa nilijiuliza maswali mengi Lakini mwisho wa siku nikasema potelea mbali liwalo na liwe.

Wakati naendelea na msosi nilimsimulia kile kitendo walichotaka kunifanya wale washenzi. Kwa maelezo ya Manuela alidai wasingefanikiwa kwani ata yeye alikua karibu.

Aliacha kuja kutoa msaada baada ya kumuona Javier anasogelea eneo hilo hivyo hakutaka na yeye kuonekana mazingira yale.

Nilimuuliza kuhusu mtu aliyefatana na Javier ambae alikua mtanashati kimavazi usiku ule. Kwa mujibu wa Javier bwana yule anatokea Los Angeles huko marekani.

Ni rafiki wa karibu wa Javier na pia ni msimamizi wa shughuli zote za Javier huko marekani, apa aliniambia pia kuhusu Javier haya anayoishi sio maisha yake kabisa.

Wakati naendelea na msosi aliniambia kwakua nguo zangu zimechanika sana natakiwa kupata suruali nyingine.

Binafsi nilipendekeza suruali ambazo zilikua kwenye furushi lililo ning'inia juu ya Kenchi. Lakini Manuela hakukubaliana na mawazo hayo alidai nguo za Gatkuoth hakuna namna zitaweza kunitosha kwani alikua giant ukilinganisha na mimi.

Muda huo alichukua ile pillow case ambayo ambayo Javier huitumia kama begi la kuhifadhia baadhi ya vitu vyake.

Nilimuonya asifanye vile kwani ningepunguza uaminifu na Javier na mpaka wakati huo nilishaanza kumuogopa Javier.

Manuela hakunisikia hata kidogo, na ilionekana kama alikua anaitafuta fursa ya kuingia ndani umo muda mrefu.

Nilikuja kustuka lile furushi limemwaga juu ya kitanda cha Javier na wakati huo mkononi Manuela alikua na tochi ndogo.

Kitu cha kwanza alichukua passport zile zote mbili ambazo zilikua na majina tofauti lakini picha ikiwa ya kwake Javier.

Kitendo kile kilizidi kuniogopesha sana kwani Manuela yeye mwenyewe aliwahi kuniambia niishi vizuri na Javier sio mtu mzuri.

Wakati anaendelea na upekuzi huku akiwa na speed kubwa zaidi aliona mfuko ndani ya furushi lile. alichukua mfuko uke uliokua mfano wa bahasha ya nailon iliyofungwa kwa juu.

Sikuweza kufahamu ni kitu gani kilichokuwepo ndani ya bahasha ile. Lakini kikubwa nilichogundua kwa Manuela ni kama alihema kwa furaha baada ya kukuta bahasha hiyo

Alirudisha kila kitu kwenye ile pillow case kama kilivyokua kisha akasema hana muda wa kukaa hapo.

"Ludovic sina muda wa kuendelea kuwepo hapa natikiwa kuondoka. Sasa nakupa machaguo mawili ambayo we mwenyewe utaona ni lipi linakufaa lipi halikufai.

Chaguo la kwanza hubaki hapa hapa, lakini Javier akijua hii bahasha haipo anakuua baada ya mateso makali.

Chaguo la pili, uondoke na mimi mpaka lima ambako ndio muelekeo wangu ulipo kisha nikutafutie passport zako urudi kwenu.

Ni wazi ata yeye mwenyewe alijua nitachagua kitu gani, niliposikia narudi nyumbani sikutaka story wala ule msosi. nilisimama na suruali yangu iliyotoboka toboka nikaongoza njia.

Nimechagua kurudi nyumbani haya maisha ya hapa hakuna namna nitatoboa.

Tulitoka wote kwa pamoja na wakati huu tulitoka kwa speeed sana ili tusije kukutana na Javier kwa namna yoyote. Lakini sasa mi sikujua tunaelekea wapi zaidi nilikua naweka mguu popote ambapo Manuela ata toa mguu wake.

Njia ya wakati huu ilikua ngumu sana kwani tulipandisha mlima sio kama sikuzote ambazo tulikua tunashusha mlima kuelekea bondeni kwenye jengo la maabara.

Kuna muda nilichoka sana lakini nilishindwa kumwambia Manuela kwani angenione mzembe sana. Kingine kilichonichosha ni speed ya manuela kwenye kupanda mlima huo, yaani usingedhania kabisa ndio yule teja tuliyekua tunamdharau siku chache zilizopita.

Kwa jinsi tulivyotoka eneo hilo hatukua na chochote tulichobeba zaidi tulikua sisi na nguo zetu tulizovaa. Manuela alikua na suruali pana fupi aina ya timberland yenye mifuko mikubwa aliyoitumia kutunzia passport na bahasha ile ya nailon.

Kuna eneo tulikaribia juu kabisa ya mlima na wakati huo mto haullaga tuliona kwa chini kabisa ya bonde linalozunguka camp.

Tulipokaribia eneo hilo Manuela alinisihi nipunguze kuburuza miguu kwani alidai nilikua natembea kama kondoo au bata.
Kwa mbele niliona jengo dogo mfano wa watch tower (mnara wa mlinzi) na kulikua na mtu kwenye kajengo kale. Manuela aliniacha pale huku akisisitiza nisogee nyuma wala mbele yaani anikute palepale.

Nibaki pale ata kama atatokea nyoka au mnyama yoyote hatari basi nifie point ile ile na alinihakikishia maiti yangu itamfikia mzee massawe.

Zilipita dakika 5 nimeganda palepale aliponiacha lakini baridi lilikua kali zaidi kwani sikutoka na chochote zaidi ya tishet na suruali yangu iliyotoboka toboka.

Baada ya kupita hizo dakika 5 alikuja manuela na bwana mmoja wa makamo alikua na asili ya kibrazil. Tukiwa na jamaa huyo yeye alituongoza kushuka upande mwingine wa pili wa mlima huo.

Wakati huu manuela alikuja na makoti mawili moja alinipa lingine akabaki nalo. Lugha waliyokua wanazungumza wawili hao siku ielewa kabisa.

Ila mpaka wakati huo nilichogundua huyu jamaa alikua anajua misheni ya Manuela vizuri na alitarajia ujio wa Manuela siku yoyote.

Tujuzane kitu kimoja hapa ila naomba nitumie mifano ya mbali na huku kwetu. Nitaanza na mfano wa Central Intelligence Agency (CIA) au MOIS/VAJA zamani ilijulikana kama SAVAK. Hii ya pili yenyewe ni Iran intelligence community.

Nachotaka kusema hapa ni hivi, hizi taasisi sio kwamba zina recruit wafanya kazi wao kwenye kila misheni. Au sio kwamba zinakua na utaratibu wa kutoa ajira za mara kwa mara ili kupata wafanyakazi, sio kweli!!!

Hizi intelligence community ( maarufu kama taasisi za kiusalama) mara nyingine kama wanataka taarifa au msaada wa taarifa au kama wanamisheni sehemu fulani. Hutumia mbinu nyingi kumpata mtu eneo husika ambae atawasaidia kuwapitishia baadhi ya taarifa na mtu huyo mara nyingi hupewa jina la infoma.

Yaani mfano rahisi ni kama CIA wanataka taarifa ndani ya kampuni ya Microsoft basi sio kwamba ni lazima watapandikiza mtu wao ndani ya kampuni ya Microsoft. Hapana!!!!!

Kwanza kabisa wataangalia wafanyakazi wa Microsoft, yupi miongoni mwa wafanyakazi hao amekaa sehemu potential kwao kwa kile wanachokihitaji.

Mbali na hapo wataangalia character za yule mtu ambae amekaa sehemu hiyo, je! Anaweza kuifanya kazi yao kwa weredi.
Wakigundua mtu huyo anaweza kuifanya kazi hiyo basi watamfuata na kumtengenezea mazingira ya kumshawishi ili awe upande wao.

Na wakifanikiwa hapo basi wanakua wamefanikiwa kupata walichokua wanakihitaji kwa njia rahisi kabisa.

Hivyo basi yule jamaa aliyekua anatusaidia mimi na Manuela alionekana ni design ya watu hao. Kwani alikua ndio supervisor wa ulinzi wa maeneo yale ya upande huo wa mlima lakini alitutoa mpaka nje ya viunga vile.

Alipotufikisha upande wa pili wa bonde hilo tulikuta mto mwingine ambao ulikua mdogo. Mto huu nadhani ilikua ni tributary inayoenda kukutana na haullaga uko mbele.

Ninaposema tributary apa na maanisha ni kijito kidogo ambacho mara nyingi huenda kuungana na mto mkubwa. Au mito midogo inayolisha mito mikubwa kwa waliopitia pitia physical geography wamenielewa.

Safari yetu hiyo ilituchukua usiku mzima hivyo tulifika eneo hilo la mto huo mdogo majira ya saa kumi alfajiri.

Kiukweli nilikua hoi, nilichoka sana ukizingatia toka jana yake nilikua kwenye harakati za ovyo ovyo mara wale washenzi watake kuni najisi mara kupigwa hivyo mpaka hapo nilijitahidi sana.

Yule jamaa aliyetusaidia kututoa kule alituachia hapa huku akimpa maelekezo mengine manuela ambayo ata sikutaka kujua wanaelekezana nini muda huo.

Yule jamaa alimuhakikishia manuela kwamba tupo sehemu salama na hakuna yoyote anaeweza kutukuta hapo labda sisi wenyewe tulete uzembe wa kutembea kuelekea upande aliotuelekeza.

Tukiwa tumepumzika eneo hilo niliona vitu mfano wa matenga makubwa mengi sana yameweka juu ya miamba ya makorongo ya mto huo.

Kwakua bado kulikua na giza nilijisogeza mpaka kwenye matenga hayo ilinijihakikishie ni kitu gani kile.

Nilisikia sauti ya manuela kwa nyuma akisema ile ni FISH TRAP ( mtego wa samaki) mtego ule unaitwa NASA ni maarufu sana kwa ukanda ule.

Mara nyingi watu hutega mtego huo nyakati za usiku na kunapokucha wanakuja kuangalia kilichonasa kwenye mtego.

Nilifika kwenye mtego huo kutoa ushamba na nilikuta samaki wengi wakiwa tayari wamenaswa na mtego huo. Hii trick nilitamani na huku bongo wale wanaoishi maeneo yenge mito na makorongo yenye samaki waitumie.

Ni trick moja ambayo ni risk free na hutumii nguvu ata kidogo, kikubwa kuseti mtego na kwenda kwenye shughuli nyingine ukirudi unakuta kitoweo tayari.

Hahaha hahaha hutumii nguvu kabisa ni kama guru wa FX anavyoweka sell limit au stop na tp kisha anaswitch off the screen baadae akirudi unachek balance.(Jokes)

Nilirudi alipokaa manuela ili tupumzike kwa pamoja ikiwezekana nimuulize baadhi ya maswali ambayo yalinipa sintofahamu nyingi mpaka wakati huo.

Nilipoketi karibu nae tu, cha kwanza alisema anajua kinachofuata baada ya hapo hivyo aliniomba nisiulize chochote kinachohusu maisha yake.

Pia alisisitiza nisiulize chochote kuhusu alifikaje hapo na kwanini ametoka na bahasha ile kwenye pillow case ya Javier.

Kikubwa alisisitiza tukusanye nguvu ili tutoke eneo hilo ambalo ni hatari zaidi kwa wanyama lakini pia binadamu ambao wengi wapo kwa ajili ya ulinzi wa mashamba yale ya koka.

Maneno yale yalinifanya nianze kuwa muoga lakini baadae aliniambia kwa ukanda tunaoelekea mashamba mengi yapo kihalali hivyo watu wa uko hawana shida kabisa.

Kwa hali ya hewa ya eneo hilo niliona kabisa natakiwa kuandaa mazingira ya kuhakikisha Manuela analiwa tunda kimasihala. Nilikumbuka baadhi vitendo alivyonifanyia siku ile usiku nikaona nastahili kula tunda.

Lakini mambo yalikua magumu kulingana na jinsi Manuela alivyokua wakati huo kwani hakuonyesha dalili ata moja ya kutaka kuliwa.

Hakua romantic tena zaidi alikua straight and serious kwenye maongezi yetu. Wakati naendelea kuwaza nakulaje tunda kimasihala, Manuela alisimama na kunipa amri kwamba tunatakiwa kuendelea na safari kwani mpaka kunapambazuka kuna eneo tunatakiwa tuwe tumefika.
 
Tulinyanyuka na kuanza safari, lakini sio siri nilinyanyuka kinyonge sana Kwani mpaka wakati huo sikuona tena dalili ya kula tunda. Hakuonyesha kabisa zile mbwembwe alizokua nazo hapo awali alibadilika kiasi kwamba nilianza ata kuogopa kuleta hizo stories.

Safari yetu ilikua ni ya kukatisha kwenye mapori ambayo yalikua pembezoni mwa mto ambao sikuweza kuufahamu kwa jina mto huo.

Kuna muda tulipita kwenye mito ambayo haikua na maji mengi lakini mito hiyo ilifunikwa na miti kwa juu, huu ukanda una mito mingi na ya ajabu sana Kwani kwa upande wangu niliishia kushangaa.

Yaani tulikua tunapita chini ya mto lakini hatukuweza kuona chochote juu yetu kwakua tulifunikwa na miti juu yetu.
Zilikua ni njia za hatari kiasi kwamba akitokea mnyama yoyote sidhani kama tungeweza kupona kabisa.

Nilishangazwa na ujasiri wa Manuela kwani alikua ni Zaid ya askari wa kawaida kwenye pori lile. Hakua na silaha yoyote lakini alijiamini kwa zaidi ya asilimia 100.

Njaa ilinikamata mno muda huu lakini niliona noma sana kuanza kulia lia njaa mtoto wa kiume alafu binti anapiga mguu hivyo nilijikaza.

Nilikumbuka maneno ya Manuela kwamba tunaenda Lima, ila distance ya kutoka haunnaco mpaka kufika Lima ni zaidi kilometers 250's sasa niliwaza ina maana tutatembea hizo kilometers zote.

Na kwa jinsi nilivyomuona Manuela hakuonyesha dalili ya kuwa na usafiri au kutafuta usafiri kabisa.
Baada ya kutembea umbali wa takribani masaa mawili kulikua kumeanza kukucha na mazingira yale tuliyokuwepo nilianza kuyaona vizuri.

Niliona mashamba mengi ya koka hivyo hapo niliamini tunakaribia mji ambao kama tutafika niliwaza cha kwanza tupate msosi.

Lakini nilishangazwa kwa mara nyingine na Manuela kwani tulionekana kukikwepa kile kijiji na kufuata muelekeo mwingine kabisa.

Kwa maelezo ya Manuela ni kwamba kile kijiji mara nyingi wakulima wa hapo huuza koka zao kwa baadhi ya drug Lords ambao wanafahamiana na drug Lords wa kule tulipotoka.

Hivyo kuna uwezekano mkubwa maeneo hayo kukawa na infoma ambaye anaweza kutoa taarifa baada ya kutuona.
Manuela aliniambia mpaka muda huo nijue tu kama Javier ameshajua kama kuna kitu amepoteza na mshtakiwa namba moja ni mustapha.

Kwani alidai hakuna yeyote kati ya wale wawili yaan Catarina na javier ambae atahisi Manuela alikua hapo kwa misheni maalum.

Hivyo tulipita pembeni kabisa ya kijiji hicho na tulikutana na baadhi ya wanakijiji wakiwa mashambani. Wanakijij hao hawakuweza kutuona kabisa ila sisi tuliweza kuwaona tena vizuri tu.

Muonekano wangu haukunitofautisha kabisa na baadhi ya watu wa kijiji kile kwani wengi walikua ni weusi kabisa na wachache half-caste fulani hivi wa mchongo.

Baada ya kukiacha kijiji kile tulifikia mto mwingine mkubwa ambao ulizungukwa miti ya matunda flani hivi madogo madogo machachu sana. Kwa maelezo ya Manuela matunda yale yaliitwa camu camu au wataalamu huyaita myrciaria dubia.

Ilionekana wazi kama Manuela alikua mpenzi wa matunda haya na alianza kuyashambulia kwa kasi ya ajabu. Apa niligundua kumbe ata yeye alikua na njaa pia ila hakutaka kuweka wazi kwangu.

Ila niliipenda trick yake ya kutokuonyesha kama alikua na njaa kwani angeweka kama ana njaa tungepatwa na uvivu hivyo tusingefika ata hapo kwa muda huo.

Wakati tunaendelea kuyashambulia matunda yale ambayo niliyaona matamu sana japo sijui kama yalikua matamu kweli au ni njaa zangu tu. Manuela alianza kunipa mawili matatu kuhusu yale matunda.
Kwanza kabisa aliniambia mpaka kufika pale tulipokua tulikua tumeshapita makutano ya mto haullaga na mto Maranon.

Hivyo eneo hilo apo tulikua kwenye mto mwingine mkubwa zaidi yaani mto Maranon, Maranon ulikua mkubwa zaidi ya haullaga na hivyo haullaga ilikua ikipeleka maji yake Maranon.

Kwa wale wasiojua ni kwamba huu mto Maranon ndio primary source ya mto Amazon ambao ni mto mkubwa sana.

Haya matunda ya camu camu au kama yanavyoitwa na wataalamu myrciaria dubia yanapatikana sana kwenye msitu wa Amazon na pembezoni mwa mto huo.

Hivyo kuyaona matunda hayo ni dalili tosha kama tumeingia au tumekaribia Amazon. Apa Manuela alisisitiza tuongeze umakini kwani msitu huo unakawaida ya kuwa na viumbe wakali sana especially nyoka wakubwa.

MIMI: Where have you seen these fruits before?
( Uliwahi kuyaona wapi matunda haya)

MANUELA: I saw it on Amazon
(Niliyaona ndani ya msitu wa Amazon)

Alinijibu huku akiwa bize akiendelea kuyashambulia matunda hayo tena alikua ameyakisanya mengi amekaa nayo chini.

Wakati anaendelea kuyachakata matunda hayo aliamua kunipa story au fact chache kuhusu matunda hayo.
Kwanza aliniambia matunda yale yana acid nyingi sana na nilithibisha hilo ata kupitia taste yake wakati nataka.

Lakini mbali na acid hiyo matunda hayo ya Camu camu yana nutrients nyingi sana zenye msaada kwa mwili wa binadamu. Nutrients hizo zilikua ni vitamin C, beta-carotene, fatty acids, protein, potassium, na nyingine nyingi.

Kuna kitu nilikiona cha tofauti kidogo kwa Manuela, alikua free sana tunapokua porini haijalishi ni pori la aina gani.

Lakini alikua anaijua miti mingi ya pori hilo, aliijua kwa majina miti mingi lakini sio majina tu mpaka matumizi ya kila mti uliokua maeneo hayo.

Alinyanyuka tulipokaa akarudi na majani ya mti mmoja uliokua mita chache na pale tulipo. Majani yale yalikua mapana japo sio sana na yalikua na ile green iliyokolea sana.

Alifika pale na majani yale na vipande viwili vya magome ambavyo alivitoa kwa kutumia tawi la mti. Lililo kuwa pembeni ya mti ule,

Alifika na kunipa majani hayo akiniambia nitafune kwa kwani ni dawa ya maradhi mengi pia husafisha na damu. Lakini pia kama nitashindwa majani hayo ata magome naweza jaribu kuyafyonza tu kama naipenda afya yangu.

Huacapurana au (Campsiandra Angustifolia) ndio lilikua jina la mmea uliotoa majina yale na magome yale ambayo Manuela alidai ni tiba nzuri sana kwani inakinga mwili na mambo mengi sana.

Wakati nayatafuna majani yale nilimuona kama kuna tabasamu limeongezeka usoni mwake, na sio siri tangu nianze kuwa nae karibu niliona Manuela anazidi kuwa mrembo kila kunapokucha.

Nikiwa bize na majani alionyesha majani mengine kwa mbali akasema yanaitwa Runa Nushi na mengine yaliitwa Pitsuru Pãni. Alidai ikitokea mmoja wetu ameng'atwa na nyoka au wote tumeng'atwa na nyoka basi nitumie majani hayo hutibu haraka na mapema zaidi.

Makabila mengi yanayoishi ndani ya msitu huo yamekua yakitumia majani hayo kama tiba ya kujitibu na nyoka wakali na wenye sumu waliopo msituni umo.

Alimalizia kusema kama sio elimu ya kutumia miti ya tiba iliyokuwepo ndani ya msitu huo hayo makabila yasingeweza kuishi humo kabisa kwani welangeisha kwisha kumalizwa na nyoka.

0623329512 (Whatsapp) kwa wale wenye uhitaji wa PDF ni af tatu

Kule kwenye PDF tupo Tehran tayari tunauona unyama wa Manuela kwa shirika la ujasusi la mossad.
 
Tutafika Moshi tukiwa tumechoka mnooo
 
Hadi hapo hujatimiza lengo lako la kula tunda la manuela kimasihara
 
Jamaaa ukovizuri tunasubiri muendelezo
 
Manuela mtu na nusu. Inavyoonekana kaja maalum kumdukua mwenetu Javier Hadi kapigwa Cha maisha
 
Back
Top Bottom