Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Kwa ambao wamelipia tayari simulizi ipo mbele zaidi ya episodes 10 kutoka apa.
Karibu whatapp ( 0623329512 )

Manuela alifanya kituko kimoja apa bongo, kwa wale wapenzi wa kwenda kisiwa kimoja maarufu kama mbudya mnaweza kukikumbuka kituko hiki.

Kwa kuongezea tu kuna magofu mengine tuliyakuta sehemu moja inaitwa kunduchi, magofu hayo yapo ufukweni lakini pembeni ya fensi ya shule ambayo sikuijua jina. Yale magofu yamechanganyika na makabuli ya kale na kitu kibaya zaidi raia wa eneo lile wanazikana kwenye eneo hilohilo.

Episode zijazo za moto zaidi........

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Hii episode nzima kwa ujumla
ninavyoifuatilia ni nzuri sana na
itakuwa na mafunzo mengi
mazuri kwetu sote.

Hivyo Mkuu, ninakuomba utupie
muendelezo wake kwa kasi ili tuendelee kufurahia.

Ndugu zako tunaendelea
kubanana hapa hapa JF
tukiifuatilia!

Hongera sana kwa uandishi
mzuri!

Usisahau kuni'tag' !Mkuu
 
mi naomba weka buku buku watu wengi wata soma na itakuwa nzur zaid
Daah boss wangu kwa bahati mbaya sahivi nafikiria kuifanya kwa ef 5 hivyo hii ef 3 na yenyewe itaisha muda wake. apa target yetu ni kitabu sasa tukifanya kwa buku haita make sense kabisa yaani ununue kitabu kwa buku.

Tulianza na 2000 kwa watu mia moja wa mwanzo ila tukasogeza mbele mpaka watu 150.

Kitu kizuri ni kwamba ukilipia mara moja tu imetosha, imagine unalipia simulizi ndefu kama hii kwa ef 3.
NI OFA KUBWA NAMNA GANI

lakini pia nimeahidi kwamba simulizi nitaimaliza umu umu tuwe wavumilivu tu.

Bless up mkushi a.k.a baba Manuela😂😂
 
Kuwen wavumilivu Bado anayepost hukotunakoichukua hajatuma had mda huu akituma tu itasogezwa aliahid leo jion ngoja tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wa wasap mbona tumeipata Hadi Leo hii.
Mwanzo mleta Mada Ali demand buku, buku tu.

Kwani buku Nini? Tukamchangia na mzigo Kila siku unashuka daily.

Mleta Mada Hawa wengine wapige Hadi buku 5.
Story tamu sana hii.

Tumefikia kipande Cha jamaa kukutana na shazad
 
Back
Top Bottom