Utajiri wa Magofu ya Rapta

Utajiri wa Magofu ya Rapta

Hii sio riwaya, amesema ni story ya kweli
Kwenye story ya kweli hapo hapana..... Kuna sehemu anasema Merry kafariki 2012..... Mara huko kaenda 2016....

2012.... Anaizungumzia Alteza na Alphard bongo hapana zilikuwa bado.....

Na kingine uwezo wa kukariri miji na majina ya mito kote alikopita siyo kweli.... Unless Kama Kama alitembea na notebook awe ana note down kila anachokiona..... Which siyo kweli kwa jinsi scenarios zilivyo.....

Ni story nzuri ya kutunga ila siyo uhalisia.... Kajitahidi kufanya vizuri homework yake tumpe maua yake kwa hilo

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
 
Sahih,

Km ikipata wahariri wenye weled ni bonge la stor
 
Najua kuna maswali mengi sana wasomaji wanajiuliza. Lai yangu ni moja tu, naomba tuisome kwa kutulia sana hii kitu inamambo mengi ndani yake.

Na nipo hapa kujibu kila doubt au sintofahamu yoyote anayokutana nayo yoyote kwenye simulizi hii.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Mwagaa maji mkuuu....
 
Kwa mwendo wa Damião ilituchukua karibia masaa matatu kasoro kutoka Cerro de Pasco mpaka kufika mjini Lima. Tulitembea kilometers karibia 250 kwa muda wa masaa hayo mpaka tunafika mjini LIMA.

Nilishuhudia milima mingi kwani mji huo wa Cerro de Pasco ulikua upo juu ukilinganisha na miji mingine niliyopita hapo kabla. Damião alikua muongeaji sana, njia nzima aliongea yeye mpaka Tunaingia Lima.

Aliniuliza maswali yaliyohusu Maisha yangu, Kuhusu elimu yangu sijui na yeye aliambiwa na nani kama nilisoma kile walichoita chemical processing engineering. Lakini alipo uliza nchi ninayotoka nilimjibu Tanzania, hapa alisema hiyo nchi haifahamu kabisa wala hajawahi kuiskia.

Alipouliza ilipo nilimwambia ipo East Africa na yeye akamalizia kwa kutaja Nairobi. Hapa niligundua upande wetu huu wa East Africa au Africa mashariki Nairobi Ndio at least inajulikana kidogo huko Duniani.

Aliniambia ndani ya chuo anachosoma yeye kulikua na mwanafunzi anatokea ukanda huo huo wa Africa mashariki.

Kuna muda alionekana anatamani kuniuliza ni kwa namna gani nilifanikiwa kumpata fatemeh lakini niliona anasita kuuliza swali hilo.

Tulipoingia lima cha kwanza kabisa Damião aliniambia tuelekee sehemu ambayo kuna chuo anachosoma kisha tutaendelea na mishemishe nyingine.

Tuliegesha gari eneo moja lililo onekana ni special kwa jambo hilo kisha tukatembea kama dakika 10 hivi nikaona bango kubwa la kijani limeandikwa (Universidad Nacional de Ingeniería) yaani national university of engineering.

Mandhari ya chuo hiki ilinivutia sana, kwani palikua pametulia mno lakini muonekano Smart na bustani zilizo zunguka majengo zilifanya mazingira yale kuvutia zaidi.

Kwa haraka haraka kulingana na mazingira yale niligundua chuo hiko kina miaka mingi toka kuanzishwa kwake. Na Ilikua ni kweli kwani kwa mujibu wa bwana Damião ni kwamba chuo hiko kilikua na zaidi ya miaka 130 toka kuanzishwa kwake.

Damião alikua na mwaka mmoja toka ajiunge na chuo hicho akichukua course iliyoitwa Bachelor of Science in Information Systems (BSIS). Baada ya kuingia mazingira yale ya chuo niligundua wenzetu hawana complications kabisa kwenye usomaji haijalishi mtu anasoma nini.

Baada ya kukutana na rafiki zake Damião ndio niliamini kabisa wenzetu elimu yao rahisi sana Kwani walionekana ni watu wa bata sana. Tofauti na ukifika maeneo kama ya DIT ( dar institute of technology) unakuta sura za kazi tu yaani mtu ananuka madesa mwili mzima.

Damião akiwa anaendelea kunitambulisha kwa washkaji zake alikuja jamaa mmoja mweusi mrefu sana lakini pia very charming. Jamaa alikua amevaa jezi ya taifa stars, kama mnaikumbuka ile jezi ya blue pembeni ina mistari ya kijani.

Hapa tunazungumzia stars ya kina ngasa, bocco, kaseja, mwinyi kazi moto na wengine kama shadrack nsajigwa na mshkaji wangu Barnabas Ilikua stars ya moto enzi hizo.

Yule jamaa alipofika tu pale nilijua ni m'bongo kwanza kutokana na jezi lakini jambo la pili wabongo tukikutana nje ya bongo kuna namna tutajuana tu. Apa waliowahi kukutana na watanzania wenzao nje ya Tanzania mnaweza kunielewa.

Muonekano wangu wa kichaga ulimfanya jamaa na yeye asipate shida kabisa kunijua kwenye kundi lile.

Mambo vip kaka? (MIMI)

poapoa chief niaje?

(Kwa jinsi alivyoitikia salamu tu nilijua tayari jamaa ni m'bongo)
Jamaa alikua anaitwa Malugu ni mkazi wa maeneo ya tegeta ila wazazi wake wanatokea misungwi mkoani mwanza.

Na yupo huko akisoma course ambayo iliitwa Mechatronics Engineering. Jamaa alikua ni maarufu pia kwenye timu yao ya basket ya chuo hivyo kila mmoja alimtambua hapo.

Malugu aliniuliza majina nikawaambia naitwa mustapha, akauliza jina la pili nikawaambia abdul-qadr akauliza jina la tatu nikawaambia makungu Lakini hakulidhika.

Nilijua anachokitafuta, apo kutokana na muonekano wangu alikua anatarijia asikie jina la koo za kichaga. Sikutaka kumtambulisha majina ambayo ata Damião hakua akiyajua.

LEO TUPO NA MALUGU MTOTO WA TEGETA KIBAONI

Tusome kwa kutulia na kuelewa haya matukio yanabebana
Whatsapp mzigo unashuka wa kutosha (0623329512) nitext tu Whatsapp.

Mwagaa maji mkuu
 
WALE WA PDF KULE WHATSAPP LEO TUMEKUTANA RASMI NA SHAHZAD

kwa mujibu wa shahzad kumbe aliwahi kuishi bongo miaka ya 1950's na kwenye story zake,

Alidai asili ya neno dar es salaam sio bandari salama kama ambavyo ilikuja kugeuzwa baadae la hasha, Dar es salaam asili yake ni neno la kiarabu eti

Dar al-Islam au Darul Islam apa alisema maana ya neno hilo ni eneo linalokaliwa au kushikiriwa na waislamu. Na alitaja maeneo hayo mengi yalikua ni pale pale City center na kwa logic yake nilielewa kwanini pia kuna muda alisema msasani ni nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Shahzad anamjua mpaka mwalimu though anamuelezea kwenye negativity

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nilisoma between lines. Nilichoka sana pale uliposema kuwa eti umemkuta merry na bonge la mzinga wa pombe mara anarudi asubuhi. Anyway, nitarudia tena kusoma

Kweli chawa hawana akili,sasa ulitaka asitoke hatakama kulikua na mzimga wa konyagi,
 
Kwenye story ya kweli hapo hapana..... Kuna sehemu anasema Merry kafariki 2012..... Mara huko kaenda 2016....

2012.... Anaizungumzia Alteza na Alphard bongo hapana zilikuwa bado.....

Na kingine uwezo wa kukariri miji na majina ya mito kote alikopita siyo kweli.... Unless Kama Kama alitembea na notebook awe ana note down kila anachokiona..... Which siyo kweli kwa jinsi scenarios zilivyo.....

Ni story nzuri ya kutunga ila siyo uhalisia.... Kajitahidi kufanya vizuri homework yake tumpe maua yake kwa hilo

Sent from my SH-01K using JamiiForums mobile app
Hii comment sikuwa nimeiona, ila ni hivi boss wangu mpaka sasa hakuna sehemu nimetaja mwaka 2016 na kama itakuwepo basi ni typing errors. huo mwaka kama nitakuja kuutaja basi baadae sana tukielekea mwishoni.

Na kuhusu kifo cha merry ni kweli kabisa kilitokea mwaka huo wa 2012 na kuhusu kifo cha mwanafunzi aliyetumbukia chooni ule mwaka wetu ni kweli kabisa.

Unachotakiwa kujua ni kuwa haya matukio yalitokea kuanzia mwaka 2012 na ikitokea nimetaja mwaka wa hivi karibuni mfano 2020 basi apo ujue na refer tukio mfano nilishasema javier alikamatwa yeye na sharmahd mwaka 2020.

Naomba tusisome simulizi kwa kutafuta weakness kwani tutapoteza concentration STAY POSITIVE.
Kama kuna mwenye maswali zaidi karibieni Whatsapp bila kusahau aftatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Hii story siyo ya kuisubiria humu, ngoja niifate whattsapp kwa afutatu yangu
 
-Pale Sengerema sec ukipandisha juu Kuna Kijiji kinaitwa Mwabarui,,,,kingine Nyancheche[emoji38]

-Headmaster alienda masomoni,kurudi akakuta mkewe anawatoto mapacha(sitomtaja jina)[emoji1787]

-Vyoo vilifungwa tulikua tunatumia Chaka[emoji119][emoji119][emoji119]

-Kulikua na mafunzo ya mgambo form two,,,wanafunzi walilala wakaamka wakagoma[emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom